Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Ha ha ha, mkuu unahisi Genta hajui mgombea mweza anatakiwa atoke Zenji ?!, sio kwamba anamaana nyingine ?!

Kwani 'Katiba' ni 'Msahafu' tu usiobadilika kama 'Mazingira' na 'Nyakati' husika ikifika ilimradi tu Chama fulani na Mgombea wake waweze Kushinda?
 
Kwani hata kama ikiwa ni 'Kweli' kuna tatizo? Je, na Wewe umeahidiwa 'Mbegu Pandikizi' za 'Mapacha' huko 'Upinzani' ndiyo maana unawapenda?
nilidhani Amiri pekee ndo kapanic kumbe hadi nyie chawa wadooooogo mnapumulia mipira hatari sana This time hakuna Lowassa pale na chawa wenu Membe tunamkataa then hakuna ile kauli "tumuachie Mungu" mtafurahia Show afanaleeeq
 
Hakuna Mtanzania yoyote yule kutoka huko Kwenu 'Upinzani' mwenye Uwezo wa Kufanya 'Fujo' na ole wenu 'Mthubutu' mtawajua wenye Kazi zao.
 
Hakuna Mtanzania yoyote yule kutoka huko Kwenu 'Upinzani' mwenye Uwezo wa Kufanya 'Fujo' na ole wenu 'Mthubutu' mtawajua wenye Kazi zao.
Wazee wa Goli la mkono, not at this time mkuu mutafurahishwa, utopolo kwenye ubora wako unadhani kwenye system watu hawajachoka na hii miaka 5? mtoto mdogo hujui kitu Bocholangai
 
Wazee wa Goli la mkono, not at this time mkuu mutafurahishwa, utopolo kwenye ubora wako unadhani kwenye system watu hawajachoka na hii miaka 5? mtoto mdogo hujui kitu Bocholangai

Endeleeni tu 'Kujidanganya' na 'Kujambishana' hovyo humu 'Mitandaoni' mkidhani Tanzania hii haina Watu wenye Kazi zao za 'Kuwanyoosheni' nyie.
 
Endeleeni tu 'Kujidanganya' na 'Kujambishana' hovyo humu 'Mitandaoni' mkidhani Tanzania hii haina Watu wenye Kazi zao za 'Kuwanyoosheni' nyie.
Kumbe nao ni watu kama sie? sasa mkuu wewe unaogopa watu? unahisi wana kipi cha ziada hao watu unaowazungumzia
 
Achana naye huyo! Yupo kwenye mission maalum ya kuvuruga upinzani, kusambaratisha kura za upinzani wa kweli zisitimie.
 
Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.
Tatizo la CCM huwa wana umoja Sana linapokuja suala la uchaguz , umoja ni silaha kubwa Sana kweye masuala yyte ya kivita, hii infanya mifumo yote ya nchi inaelekezwa kuifavour CCM , kuanzia vyombo vya usalama, asasi za kiraia , matajiri wakubwa , mashirika binafs na ya uma, katika mazingira haya ni ngumu Sana kutoboa kwa mpinzan.

Kwa sasa mwamko wa upigaji kura ni kama haupo hasa maeneo ya mijini watu kama Wana harakat zao za maisha tofaut na 2015 , hii inaonyesha CCM wanashinda asubhi tuu, ...... Kama ni suala la nyomi hakuna anayeweza vunja rekodi ya Lowassa
Watu waoga wametishwa mjini na wanao hitokeza ni wale wasio na cha kupoteza vijana haswa lakini moyoni wanajua watakacho fanya
 
Back
Top Bottom