Uchaguzi 2020 Kwa umati uliofurika leo Viwanja vya Matogoro Mjini Tandahimba, ni wazi hakuna wa kumzuia Tundu Lissu kuwa Rais

Uchaguzi 2020 Kwa umati uliofurika leo Viwanja vya Matogoro Mjini Tandahimba, ni wazi hakuna wa kumzuia Tundu Lissu kuwa Rais

Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Kujiamini na kua huru ni jambo zuri sana
Kujipendekeza kwa Magufuli mtu anaewadhalulisha wewe na babako ni shida Sana
Pole bint Lowassa kwa kua Mtumwa kwenye nchi yako
 
Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Jane mamaa

Chagua Tundu Lisu awe rais wako 2020-2025

Chukua hatua mamaa
Rais mwenye vigezo vyote vya uongozi

Achana na ilo Liongo na Lichonganishi linalokura matapishi(maneno) yake bila kujali..
Screenshot_20201023-075143.jpg
Screenshot_20201023-075118.jpg
Screenshot_20201023-075055.jpg
Screenshot_20201023-075039.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hata lipumba ana umati sijui kama unajua hilo

Alafu ukiongea habari ya umati hata Mbowe atakudharau sana. Maana wanajua kilichotokea 2010 na 2015
Screenshot_20201023-072007_Telegram.jpg
 
Round hii jiwe akishinda nahisi atatunyoosha sana maana ashaona wazi kuwa hali ngumu
Atashinda kwa kuiba kura labda.hata kama akiiba akashinda poa tu,ila atakuwa amepata fundisho kuwa 75% ya watanzania hatumtaki.atatunyoosha ila Mungu nae atamnyoosha hiyo miaka yake ya mwisho.
 
Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.

Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.

Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.

Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.

Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Na wale waliotokea USA na Arumeru jana na Leo Sheik Amri Abeid wapi wengi ?
 
Juzi nilikuwa napita sebulen nikaona bashiru anahojiwa na bbc swahili aisee ilinibidi nisimame maana jamaa alikuw na huzuni utadhan wanamuhoji matukio ya ndugu zetu wa nigeria
Bashiru tokea akutane na Balozi wa US hapa nchini amekuwa mnyonge sana. Sijui kuna nini.
 
Msisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo[emoji7][emoji1241][emoji106]
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1609466
Nani kakwambia ukiwa mwanachama wa CCM nii lazma umpigie Kura Rais, Mbunge au Diwani wa CCM?

Hiyo takwimu za kimagumashi namba zote zinaishia na 0000 si kitu mmejifungia tu na kuandika. You can write anyhow but ukweli ni kwamba hamkubaliki tena.
 
Back
Top Bottom