Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 868
- 1,016
Waulize wafanyakazi wanavyosainishwa mahudhurio ya mikutano ....Haijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Kwanini wafanyakazi hawawezi kujitenga kutumika na wanasiasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wafanyakazi wanavyosainishwa mahudhurio ya mikutano ....Haijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Kujiamini na kua huru ni jambo zuri sanaKujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Jane mamaaKujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Kabisa my.🚶🚶Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Atashinda kwa kuiba kura labda.hata kama akiiba akashinda poa tu,ila atakuwa amepata fundisho kuwa 75% ya watanzania hatumtaki.atatunyoosha ila Mungu nae atamnyoosha hiyo miaka yake ya mwisho.Round hii jiwe akishinda nahisi atatunyoosha sana maana ashaona wazi kuwa hali ngumu
Hoja zingine zinawaaibisha watoa hoja. Utadhani ni roboti inaandika. No thinking at all.Tanzania haiuzwi, Dalali hapati mchongo hapa.
Na wale waliotokea USA na Arumeru jana na Leo Sheik Amri Abeid wapi wengi ?Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Bashiru tokea akutane na Balozi wa US hapa nchini amekuwa mnyonge sana. Sijui kuna nini.Juzi nilikuwa napita sebulen nikaona bashiru anahojiwa na bbc swahili aisee ilinibidi nisimame maana jamaa alikuw na huzuni utadhan wanamuhoji matukio ya ndugu zetu wa nigeria
Una maana hana uwezo wa kuelewa kitu? Au neno "cognitive ability" hujui maana yake? Usijiaibishe. Kuna wasomi humu JF.Ni kweli, hakuna wa kumzuia, atajizuia yeye mwenyewe, hana ,,cognitive abilities‘‘ ,
Nasikia huko watoto wa kidato cha kwanza na tatu waliambiwa leo wasiende shule ili wahudhurie uwanjani!Haijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Na Diamond!Kumbuka kizuri kinafuatwa kibaya kinatumia Mafuso
Pesa?! Hizi hizi elfu 7 saba za Polepole?! Huwa unaweka kwenye kibubu?!Mtaandika sana utopolo wenu humu, Lissu akipata hata asilimia 3% njoo unidai hela
Nani kakwambia ukiwa mwanachama wa CCM nii lazma umpigie Kura Rais, Mbunge au Diwani wa CCM?Msisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo[emoji7][emoji1241][emoji106]
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1609466
#JPM5TENA.Hoja zingine zinawaaibisha watoa hoja. Utadhani ni roboti inaandika. No thinking at all.