Kwa Unafiki wao, Aljazeera hawawezi kukuonyesha video hii

Mnalisujudia, Kuliabudu na kulipa uungu jiwe jeusi.

Shame!

Nyau de adriz
 
Hahaha cheki Mungu wenu huyo mmoja hajazaa Hana mshirika halafu Hadi ana kinyeo.

View attachment 3338528

Jagina Malaria 2

Nyau de adriz
Siku zote mpagani anatafuta kuharibu Uislam kufanya uwe upagani kama wao nyie ni wabudu binadamu ambaye Yesu mtoto wa Mariam na Baniani ana abudu ngo'mbe na misanamu. Hilo jiwe jeusi mimi naenda Makkah mara ngapi hata kuligusa wala sijalisogelea Hilo jiwe ni reference kwa watu wenye madhambi linawakumbusha lilikuwa jeupe liliopo tokea peponi na kila madhambi yalivyo zidi likabadilika likawa jeusi. Kama.mnasema waislam wanabudu jiwe basi Allah atakuwa anajisuta kwenye Qur'an sababu yeye mwenyej hahaha sababu hakuna wakufanana na Allah jiwe linafanana na majiwe, Allah haonekani jiwe linaonekana hapo ndio mjuwe ukristo ni uchizi tu. Bibilia zenu zinawambia Mungu habadiliki nyie mnasema anabadilika 1=3. Bibilia zenu zinasema hakuna mtu kawahi muona Mungu hata kusikia sauti yake nyie mnapiga naye story kabisa hahaha. Bibilia inawambia hakuna binadamu akamuona Mungu akaishi nyie mpaa.mkamtundika msalabani na mkasema alijua atakufa kwa ajili ya kubeba dhambi zenu. Huo kama si uchizi ni nini tena.
 
Mimi ni muislam sipo upande wa yeyote katika hao, pia sifurahishwi na alichokifanya Israel wala hamas, naamini kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu kuwa kila mwanaadam ana haki ya kuishi kwa amani bila kujali tofauti za kidini,kikabila,wala utaifa.
Kule kikundi kinaitwa Islamic jihad kinajua hilo?
 
Hao ndio watoto kelele kila siku kuwa IDF inawaua? vita kweli ni propoganda
Exactly kama vile IDF ya mashago ikiwauwa watoto, wanawske au civilians inasema wameuwa kina Abu Obaida
 
Mnalisujudia, Kuliabudu na kulipa uungu jiwe jeusi.

Shame!

Nyau de adriz
Hahaha sawa wapagani mnao abudu binadamu mtoto wa Mariam endelezeni propoganda zenu Uislam ni level ingine Mungu wao hauwezi kumuona sababu hakuna macho ya binadamu yanauwezo wa kumuona hawakumuona kina Ibrahim. Mussa, Yesu, na Muhammad tuje sisi tumuone kwani sisi wakristo au baniani miungu yao inatundikwa kabisa kwenye cross na inachinjwa hahaha.
 
Ni kweli. Al jazeera ni wanafiki kama Israel inayoonyesha video ambayo waisrael wanapewa misaada na kuonyesha kama ni wapalestina.
 
Hahaha upgani noma sana endeleni kufikiria upagani wenu eti waislam wana abudu jiwe. Upgani ni kumuabdu mtoto wa Mariam
Mimi sijautaja uislam ila Kuna dini moja watu husafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na wao wameamlishwa kusujudu kuelekea upande jiwe lilipo
 
Unafiki huu yaani wale waliokuwa wana praise allah Oct 7 kwa mauaji,udhalilishaji dhidi ya wayahudi wasio na hatia eti leo wanapofanyiwa retaliation wanaona sio ubindamu!huu unafiki upo nje ya ubinadamu kabisa.
 
Mimi sijautaja uislam ila Kuna dini moja watu husafiri maelfu ya kilometer kwenda kubusu jiwe na wao wameamlishwa kusujudu kuelekea upande jiwe lilipo
Sawa wapagani endeleni kumuabudu mtoto wa Mariam. Afu hilo jiwe nyie wacheni tulibusu hata Yakobo alilitukuza pia jiwe kama hilo, kumbe na yeye Mungu wa Yakobo ni jiwe hahaha. Kwa hio bibilia inasema Mungu wa yakobo ni jiwe? Au sababu na yeye aliweka jiwe akawa ndio anasali.

Genesis 28:18 ►
Audio Cross Study Comm Heb
Verse (Click for Chapter)
New International Version
Early the next morning Jacob took the stone he had placed under his head and set it up as a pillar and poured oil on top of it.
 
Wenye lana ya asili ni wale wana Abudu ngo'mbe na binadamu
Kama nyie hamna laana kwa nini Allah aruhusu dunia iongozwe na hao waabudu ng'ombe na binadamu katika kila sekta ukiondoa ile ya kujilipua, kuparamia watu kwa magari ili uwaue na kuchinja vichwa vya watu?
 
Unafiki huu yaani wale waliokuwa wana praise allah Oct 7 kwa mauaji,udhalilishaji dhidi ya wayahudi wasio na hatia eti leo wanapofanyiwa retaliation wanaona sio ubindamu!huu unafiki upo nje ya ubinadamu kabisa.
Hebu tuonyesheni video.moja wapi Hamas waliuwa watoto, wanawake kule israel mnaona aibu zile propoganda zenu mlizo onyesha zilikuwa watoto wa Kipalestina hamkuzitoa tena hahaha
 
Hebu tuonyesheni video.moja wapi Hamas waliuwa watoto, wanawake kule israel mnaona aibu zile propoganda zenu mlizo onyesha zilikuwa watoto wa Kipalestina hamkuzitoa tena hahaha
Aliuwawa Joshua sembuse watoto.....zile nyumba zilizochomwa moto kusini mwa Israel kisa wamegoma kufungua huo moto haukuunguza watoto ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…