Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.
Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.
Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.
Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.