Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.

Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.

Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.

Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.
 
Wameanza vizuri sema naona wasanii wote waliowaleta ni wa mrengo mmoja. Yani wa Hip Hop.... sasa kwenye audience kuna mabinti ambao most of them sio wapenzi wa Hip Hop.
 
Deo wa cheka tu alifanya poa Sana Jana usisahau pia performance ya mzee mzima chid benz na Linah sanga walifanya poa Sana.
 
Wameanza vizuri sema naona wasanii wote waliowaleta ni wa mrengo mmoja. Yani wa Hip Hop.... sasa kwenye audience kuna mabinti ambao most of them sio wapenzi wa Hip Hop.
Si Kuna Linah sanga au ukuona performance yake?
 
maxresdefault.jpg
maxresdefault(3).jpg
maxresdefault(2).jpg
maxresdefault(1).jpg
 
Issue sio kipindi. Issue ni “continuity” ya kipindi. Sidhan kama hicho kipindi kitadumu episodes 4!...Wasafi wanaanzaga na nguvu, then wanaboronga
Acha wivu mzee wataachaje kipindi Kama hicho ambacho kimetokea kupendwa na watu wengi Sana.
 
Issue sio kipindi. Issue ni “continuity” ya kipindi. Sidhan kama hicho kipindi kitadumu episodes 4!...Wasafi wanaanzaga na nguvu, then wanaboronga
Kusema hawatafika episode 4 tayari ni roho ya kichawi. Sijui kwa nini wabongo wengi huwa hatuko postive kwanza.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom