Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Remember that Afrimma sio wabongo kule Kuna wazungu,Wanigeria na wasouth Africa. Sasa fitna imetumikaje? Alafu pia kumbuka lil ommy katokea kwenye media ndogo( Time FM) so jiulize wamemuonaje?Tuje kwenye swali la msingi kipi kinakufanya usimuelewe?
Kwani kwann kina CB na Minaj wanajitoa katika tuzo kubwa kama BET hawataki tena kushiriki wala kuwa tena nominees katika tuzo kubwa kama hizo kwasababu tuzo watu wanapeana tu. Thus why CB alitweet na kuandia haitaji tuzo ilikuwa bora bali kazi zake ndio zitamfanya awe bora.
 
Umeandika utumbo mtupu hapo.

Kama figisu zipo kwenye tuzo za Grammy Marekani ambazo ni maarufu duniani itakuwa hapo Afrima kwenye tuzo zisizokulikana duniani
 
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.

Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.

Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.

Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.
Bonge moja la kipindi kutoka wasafi tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwann kina CB na Minaj wanajitoa katika tuzo kubwa kama BET hawataki tena kushiriki wala kuwa tena nominees katika tuzo kubwa kama hizo kwasababu tuzo watu wanapeana tu. Thus why CB alitweet na kuandia haitaji tuzo ilikuwa bora bali kazi zake ndio zitamfanya awe bora.
Nimeshakuambia waandaji wa hiyo tuzo Ni wazungu, Wanigeria na wasouth sasa watampaje lil ommy waache kuwapa Wanigeria au wasouth?
 
Ulitakiwa wewe ndio uwaulize? Je wewe kipi kinakufanya usimuelewe lil ommy?
Huwezi kunilazimisha nimuelewe kwangu hana swagger za kunivutia hana hata misemo vionjo ya kunogesha interview zake kazi ni yo yo mara kwenye dk fulani kwenye nyimbo yako ulisema hivi vitu ni vile vile kila siku kwangu ni bora ni mchukue Jonijoo Baba akooo anajua kucheza na lugha na anaweza kumfanyia interview hata padre sio huyo watu wa wake ni watasinia moja tu alafu hajui vitu vingi kama Jonijoo nakuambia Jonijoo mlete mtu yeyeote yule yupo vizuri hata mwanasiasa ataishi naye yule sasa ndio unaweza sema ni Presenter sio huyo lil ommy wako.
 
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.

Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.

Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.

Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.
Huu uzi mpaka bwashee innocent dependent akacomment chchote
 
Huwezi kunilazimisha nimuelewe kwangu hana swagger za kunivutia hana hata misemo vionjo ya kunogesha interview zake kazi ni yo yo mara kwenye dk fulani kwenye nyimbo yako ulisema hivi vitu ni vile vile kila siku kwangu ni bora ni mchukue Jonijoo Baba akooo anajua kucheza na lugha na anaweza kumfanyia interview hata padre sio huyo watu wa wake ni watasinia moja tu alafu hajui vitu vingi kama Jonijoo nakuambia Jonijoo mlete mtu yeyeote yule yupo vizuri hata mwanasiasa ataishi naye yule sasa ndio unaweza sema ni Presenter sio huyo lil ommy wako.
Hapa ndio nimekuelewa kumbe wewe unaangalia vionjo na swaga za presenter bila kuangalia uwezo wa presenter wa kuuliza maswali,kumanage kipindi n.k basi kwa style hii utakuwa hata bdozen umkubali
 
Watangazaji wengi wa tv na radio huko ni watu wa kuigana kwa kila kitu hata Tv zetu nyingi ubunifu zero, wanaigan karibia kila kitu. Acha twende hivyo hivyo.
 
Hapa ndio nimekuelewa kumbe wewe unaangalia vionjo na swaga za presenter bila kuangalia uwezo wa presenter wa kuuliza maswali,kumanage kipindi n.k basi kwa style hii utakuwa hata bdozen umkubali
Hana mpya story zake ni zile zile hana ubunifu wowote kwangu ni zero Presenter wahivyo anayecheza sehemu moja kila siku Jonijoo ni aina ya Preseneter kama Salama Jabir mpemtu yeyote ataenda naye sawa sio huyo watu wake ni wa burudani tu Jonijoo hata rahisi anaweza kumfanyia Interview sijui unanielewa hapo? 😆 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom