Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao.
Lissu ameamua liwalo na liwe. Nyuma yake wapo akina Heche, Msigwa na Pambalu hawa hawaungi mkono siasa za maridhiano. Ni wakati sasa wa taasisi za dini, taasisi za kijamii za kitaifa na kimataifa kuitahadhalisha Tume Huru ya Uchaguzi uwe huru na itende haki. Haizalishi imewekwa na Rais wa chama tawala itende haki.
Lissu anasema polisi hawatoshi kama nchi nzima uchaguzi utavurugwa na kote wananchi wakajaa barabarani kudai haki yao. Ni kweli tumeshuhudia fujo inapotokea mkoa Fulani polisi na magari ya washawasha kusafirishwa toka eneo Moja kwenda linguine. Chondechode Tume mnadhamana ya kuilinda amani ya nchi hii kwa kutenda haki.
Waambieni wanasiasa wa chama tawala kuwa imekuwa Tume Huru na muoneshe uhuru huo. Msikubali walioshidwa kutetea wananchi wategemee Tume kurudi kwenye nyadhifa zao. Ule uchaguzi wa ovyo wa maremu Magufuli yasijirudie na tusiogope kusema ukweli. Kuna mazuri marehemu alifanya ila hili la kuvuruga uchaguzi lisemwe hata kama hatunae tena.