Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

Mange ametuchana live, wamarekani wanakatwa kodi kubwa ili kutusaidia waafrika halafu viongozi wanatumbua pesa zao na nyodo juu..!! Tukale tulikopeleka mboga
Na tulipopeleka mboga hawana msaada na sisi zaidi ya kutukamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…