Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #101
Ya ni kweli, ila kila idara ikiongozwa na jeshi hii itakuwa ni kusogelea hatari kwa siku za mbele. Maana itafika wakati itaombwa na nchi iongozwe na raisi mwanajeshi.IGP atoke JWTZ ili alinyooshe Jeshi la Polisi vinginevyo hakuna mabadiliko yoyote ya maana yatakayofanyika mfano mzuri umeonekana Magereza mwenye macho haambiwi tazama
Niliwaambia mkashupaza shingoCamilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Afisa kipenyoNiliwaambia mkashupaza shingo
Imekula kwako,chenga matata chaliiHabari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali
View attachment 2279028
Hongera,nyie watu huwa mnakuwaga na comment fupi fupi harafu inakuwa hivyo..Camilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Umeumbuka mkuu π¬π¬.Nani kakuambia, yaani majesh yote wakuu wao wawe wa Imani moja, kingine Muliro anafaa zaidi, Hana masiala kabisa!
Wambura pia Ni mchapa kazi mzuri mkuuUmeumbuka mkuu π¬π¬.
Swala sio Imani bali utiifu na weledi.
Wewe uliekuwa haujui nguvu na mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama pitia hapa. Uliekuwa unajua ana nguvu kuliko mwenye nguvu mwenyew, leo hii katupwa kwa Mugabe huko kabla hata muda wake kuisha kulaleki ππππSidhani kama ni rahisi kiasi hicho,nadhani ndiyomaana jamaa alikua anajibu vile.Kumuondoa kihivyo haiswii sana.Mama kaona ngoja amalizie muda wake,mambo yaishie hapo.
Mkuu uliekuwa unaamini kwamba hawezi kuguswa, sasa kachomolewa katika nafasi yake kabla ya muda wake kuisha na kutupwa huko mwishoni mwa bara la Afrika, sasa wewe na yeye mnasemaje?Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Duh!!Camilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Watu mlishajuaCamilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Huyu jamaa alikuwa hajui kama raisi ndio mwenye mamlaka yote ktk nchi hii. Sasa aliekuwa anajua hawezi kuguswa, leo kaguswa vizuri na hakuteteleka. Mamlaka ya raisi ni tofauti na yale ya mkubwa wa vikobaHawezi kikatiba au ki connection?yani unamaanisha kuna watu wamemzidi Raisi mamlaka??
Vipi bado unaamini kuwa mama yetu hana ubavu?Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Saluti kwako! Wewe ni mpiga ramli?Camilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Hahaha.. mkuu kwangu mimi wote nilikuwa nawakubali, japo nilimkubali zaidi Murilo, ila hata huyu utendaji wake mzuri. Kwahiyo haijala kwangu, watu ambao pangu pangua hii imekula kwao ni hawa hapa walioandika comment namb #8 , na mungine namb #17 . Wewe ukipata muda zisome afu upitie yaliotokea leo πππππ. Afu kama hautojali usome na comments zang namb #16 na #20 nilivyokuwa nawapa somo kuhusu mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu πππImekula kwako,chenga matata chalii
Hahaha.. hata mimi comment yang namb #109 bado hajaingia kuijibu. Nahisi kaingia mitini kwa kujiona hajui kitu.Vipi bado unaamini kuwa mama yetu hana ubavu?
Umesema?Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
AusioMuliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]