mbuzi_ dume
Member
- May 4, 2024
- 6
- 4
Kama ni hivo manchester united angekua anachukua makombe yote anayo shiriki kila mwaka
Akili ni maliNimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Huu uzi si upo, nitaupandisha tena tarhe 27/04/25Kama ni hivo manchester united angekua anachukua makombe yote anayo shiriki kila mwaka
Uzi ulitakiwa ufungiwe hapa huyu chura akapige kelele bwawani.Mpira ungekuwa pesa tu New Castle angekuwa bingwa wa Ulaya na Manchester United asingekuwa wa 14.Umevimbiwa mihogo kwa mujibu wa Hersi Saidi.
Kwasababu simba wanaumia na uzi unaoongea fact basi uzi udondoshwe, mbumbumbu nyie Rage alisemaUzi ulitakiwa ufungiwe hapa huyu chura akapige kelele bwawani.
wewe ni mtoto wa 2000We mwenye uzi ni Ku... eeh! malizia na Ma. bado sijapata jawabu kuna uhusiano gani kati ya madness na yanga
inasikitisha sana kuona mtu mzima lakini reasoning yako kama secondary school boywewe ni mtoto wa 2000
Joined Jan 20, 2025
No reform No ErectionKwaheri Mawazo mbadala.
Kwaheri Great thinker
Hatushindanishi utajiri wewe zero brainNimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda
Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.
Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
Kumbe sifa zote hizi ni kutaka kutumiwa pesa na Rupert? Ndugu yangu tafuta kazi ya kufanya, pesa ya mwanaume mwenzio unayoililia kamwe haiwezi kukuacha salama.:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE