Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

Mpira ungekuwa ni utajiri kuna klabu zingekuwa ndo mabingwa 😃 Newcastle United
 
Yanga wenye akili wawili tu basi nao wengi wenu hammo
 
Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda

Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.

Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo

Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert.

Yani inafika hatua UZALENDO watu hatuna.
Inakuwaje useme "UTAJIRI WA RAFIKI YETU RUPERT ".
 
Tukiachana na ushabiki! Hii timu ya Stellenbosch inaonekana imejipanga, lakini pia inacheza kwa malengo. Kutoa sare ya 0-0 Afrika ya Kusini, na kwend kumfunga Zamalek Misri, siyo kazi nyepesi hata kidogo.

Nadhani kwenye hii hatua, simba itakuwa imepata mpinzani wa kweli. Siyo wale Waarabu mayai mayai wa Al Masry.
 
Watu wako mbele ya muda. Wewe ukiwaza, wenzio walishawazua.

1000071099.jpg

1000071098.jpg
 
Kaka yangu na ndugu yangu Johann Strauss Rupert anakupongeza kwa uzalendo wako na anaahidi kuwatoa walima mkonge hiyo j2 kwani mechi ameamua kumalizia huko huko Zanzibar
Ngiyabonga ,dankie ,thank you
 
Huyo Rupert anamzidi pesa hadi Motsepe mmiliki wa Mamelodi.

Kachungulie table ya ligi ya bondeni halafu rudi hapa.
Jamaa wako top three Jana wamempiga amazulu 1 Kisha wanapanda ndege kuja Zanzibar sio kwa Bahati mbaya wako top 3 au kumtoa zamaleki
Zimbwe na kapombe watalaumiwa sana j2 na j3
 
Mpira ungekuwa pesa tu New Castle angekuwa bingwa wa Ulaya na Manchester United asingekuwa wa 14.Umevimbiwa mihogo kwa mujibu wa Hersi Saidi.
Kuongezea tu, Simba asingekimbia tar 08.
 
Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert.
Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku tajiri wa Simba Mo ana utajiri wa $1.5Bilioni ambao ni mara kumi chini kwa utajiri wa rafiki yetu rupert. Na hata utajiri huo mwingi ni valuation ya mashamba makubwa waliyopewa na serikali. Sasa hapa katika hii mechi mwenye pesa ndo atashinda

Kiuhalisia Steller Ni timu ina nafasi kubwa ya kutinga fainali, kwa kuifunga timu masikini ya Simba. Ambayo rupert atatumia pesa zake kuhakikisha Makolo wanatoka. Pia Simba wameshazika mbuzi zao kwa mkapa hivyo mechi nje ya kwa mkapa wanakuwa hawana nguvu ni kama samson alivyonyolewa na Delila.

Nawaambia Mashabiki na Waganga wa Simba kuwa Mpira ni Pesa na Mpira sio ndumba. Nawatakia mechi mbaya sana Makolo

Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::
:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Mwanzoni mwa uzi huu nilidhani ni logical analysis kumbe njaa tu!
 
Utopolo mnazidi kuchanganyiwa kila kunapokucha.
Simba haijawatuma kuishia makundi bali ubovu wa litimu lenu .
Ondoa mwiko nyuma utaumia ndg utopolo
20250415_160413.jpg
 
Back
Top Bottom