Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

Kama ni hivo manchester united angekua anachukua makombe yote anayo shiriki kila mwaka
 
Reactions: Tui
Akili ni mali
 
Miminiliwahi kuwa na mawazo angalau kuwa member wa Jamii Forum ni
1. Kunapimwa Akili.
2.kufanyiwa Interview.
3. Kulipia Uzi ama Comment.
4. Kuchangia hela za kuwa mwanachama nk.

Unajichanganya mambo mengi sana.

Mfano tu. Simba inaweza kwa mkapa kwasababu Imefukia mbuzi hapo hapo Uchawi haufanyi kazi

Haya ndio yale yaliyotoka kwenye vijiwe vya kahawa yakahamia hapa Jf
 
We mwenye uzi ni Ku... eeh! malizia na Ma. bado sijapata jawabu kuna uhusiano gani kati ya madness na yanga
 
Reactions: Tui
Hatushindanishi utajiri wewe zero brain
 
Reactions: Tui
Pia Natumia Platform hii kumwambia bwana Rupert atutumie pesa angalau mashabiki 10000 wa yanga tuende zanzibar tukaishangilie timu yetu Stellernbosch ::

:: in English I am also using this platform to tell Mr. Rupert a goog friend of us to send us money for at least 10,000 Yanga supporters to go to Zanzibar and cheer for our Stellernbosch team. MAKOLO RUDINI SHULE
Kumbe sifa zote hizi ni kutaka kutumiwa pesa na Rupert? Ndugu yangu tafuta kazi ya kufanya, pesa ya mwanaume mwenzio unayoililia kamwe haiwezi kukuacha salama.

Stellenbosch lazima afe iwe jua ama mvua. Mark this COMMENT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…