Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

Nakuhakikishia wanaombeza magufuli na kufurahia kifo chake ni wachache saaana (wengi wapo humu mitandaoni) kuliko walioumizwa. Msamaha wako hauna maana, kwasababu unawaomba watu wapumbavu waliojawa na chuki.
Hata hawa wenye Chuki nao ni Binadamu kama Mimi na Wewe na ukiwaomba Kiustaraabu na Kiungwana kama nilivyofanya wanaweza Kuelewa na kuweka Silaha zao chini.

Mbona hata Wewe pia katika haya Maelezo yako hapa umeonyesha pia kuwa una Chuki sana na Watu wasiompenda Hayati Rais Dkt. Magufuli pamoja na Matendo yake ( hasa Kiutawala ) katika iliyokuwa Serikali yake.

Ndiyo maana nimesema tusameheane.
 
Unampiga spana mtu ambae hakusikii wala hayupo kwenye ulimwengu. Hujioni kama ni mpumbavu.
Mkuu nadhani Wewe sasa ndiyo unaharibu zaidi hapa. Hao wanaomchukia na Wewe umpendae wote Kihisia mna haki sawa na ndiyo maana nimelitumia neno zuri sana la Mwenyezi Mungu la Msamaha ( Kusameheana ) kisha kwa pamoja tuanzeni Ukurasa mpya. Matusi yako Kwao hayasaidii.
 
Bado ninawaombeni tumsameheni JPM.
 
Boss..hakuna asiechukiwa...tofauti ni nani anakuchukia?? Magu alikuwa anachukiwa na mafisadi na wala rushwaa wenye vyeti feki na hao ndo wanatoa sauti na zinasikika mana ni watu wenye mitandao mikubwa sana wakiongea wanafika mbali..lakini JPM alikuwa anapendwa na watu wa chini waliokuwa wanaonewa na washenzi wachache hao mafisadi.
Kikwete alikuwa anachukiwa na watu wa chini na kupendwa na wapiga deal hivyo sauti za wachini hazikufika mbali ila upendo wa wapga deal ulifika mbali zaid.
Ni hayo tu kwa leo
 
Si rahisi kusamehewa huyo. Kwanza tunaye Rais wetu kipenzi kwa sasa. Yaani Mh. Suluhu anatosha kabisa. Yaani leo hii tuko huru na wala sijasikia mtu amevunja sheria, sijasikia eti mtu mmekamatwa kisa eti kuandika vibaya kuhusu Mungu mtu, sijasikia mahabusu Wamekufa kituo cha polisi, Mbowe aliongea na media kwa amani sikusikia virungu vya polisi au barua ya kuzuia press, sijasikia mtu alichukuliwa na wasiojulikana, sijasikia mtumishi wa umma ametukanwa na kudhalilishwa mbele ya Kamera;
Hivyo basi kwa siku 40 tumeuona uhuru, amani, mahusiano mazuri yanarejeshwa. Kifupi ni mengi ambayo yamerejesha tena FURAHA yetu..
 
Bado ninawaombeni tumsameheni JPM.
Luka 23:27-28 “Na mkutano mkubwa wa watu wakamfuata na wanawake waliokuwa wakijipiga vifua na kumwombolezea, Yesu akawageukia,akasema,Enyi binti za Yerusalemu ,msinililie mimi,bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu”.
 
Wewe ndiyo uko proud naye. Usiseme watanzania. Labda wewe na familia yako. Usiusemee moyo.
 
CAG REPORT 2020/2021 SAYS IT ALL
 


🤔🤔🤔🤔---- kweli repairation katika jamii yetu ni muhimu sana.
 
Msamaha alitakiwa auombe yeye. Ila alitanguliza mbele kiburi cha madaraka huku akiwajibu watu ovyo, mara wabaki na mavi yao nyumbani.


"Watu wabaki na n'nyaaaa yao nyumbani??!!",----- Hivi kweli Magu kama Rais alifikia hatua ya kutamka maneno hayo kuwaambia Watu au mnamsingizia tu kwa kuwa hayupo???? Looo siamini !!!.😨
 
Marehemu asemwi vibaya ila jiwe alipokufa watu mioyo yao ilishangilia.

Kufa wote tutakufa ila insue nani anatangulia?

Jiwe kanitesa binafsi ila nishamsamehe muda sana.

Tuseme Amina!!! wengine tuseme Inshaallah!!
Inshallaaah jiwe limepasuka vipande vipande by disintegration process[emoji23][emoji23][emoji23] watanzania tunaishi kwa furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujemedari unaouzungumzia wewe ni upi. Kainyoosha nchi kivipi. Huyo muuaji, mkatili mdhurumati wa stahiki za watumishi, mjuaji wa kila kila jambo na mpenda sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


"Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"

Ila vitabu vya historia vitamuandika Magu pamoja na Hitler, Mussolini , Stalin, Firauni, Bokasa, Amin nk,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…