GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Hata hawa wenye Chuki nao ni Binadamu kama Mimi na Wewe na ukiwaomba Kiustaraabu na Kiungwana kama nilivyofanya wanaweza Kuelewa na kuweka Silaha zao chini.Nakuhakikishia wanaombeza magufuli na kufurahia kifo chake ni wachache saaana (wengi wapo humu mitandaoni) kuliko walioumizwa. Msamaha wako hauna maana, kwasababu unawaomba watu wapumbavu waliojawa na chuki.
Mbona hata Wewe pia katika haya Maelezo yako hapa umeonyesha pia kuwa una Chuki sana na Watu wasiompenda Hayati Rais Dkt. Magufuli pamoja na Matendo yake ( hasa Kiutawala ) katika iliyokuwa Serikali yake.
Ndiyo maana nimesema tusameheane.