Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
Huyuyu kabudi ya mhe mungu na juice za magascar? Give me a break
Amesoma sana but last time hakuwa na msaada kwenye hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyuyu kabudi ya mhe mungu na juice za magascar? Give me a break
Amesoma sana but last time hakuwa na msaada kwenye hii
Fikra duni sana. Pole sana kwa kukosa uelewa.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Tuna watu wana fikra duni sana. Hawa ndio wanaamini kuwa mtu akiwa na weledi wa sheria, basi anaweza kufanya kosa lolote halafu hataonekana kuwa amefanya kosa kwa sababu anajua sheria.Lissu aliyasema hayo lini? Na huo ubobezi wa Kabudi ulisaidia vipi kipindi kile ndege za serikali zilizokuwa zinakamatwa kila mara na serikali kushindwa kesi?
Una fikra TUNDUIZI kabisa ,bravoo[emoji2956]Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
[emoji2956][emoji2956]Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Wee chawa labda nikukumbushe tu kuwa hakuna mashindano hapo kila mtu ana kazi yake. Kabudi kazi yake ni kutunga sera na kulinda taasisi ya sheria na Mwabukusi kazi yake ni kulinda mawakili na kutetea wananchi na rasilimali zake dhidi ya ubabe wa serikali kwa mujibu wa Katiba na sheria.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Kwa hiyo una maana Rais Samia anamuogopa saasna Mwabukuzi kiasi ameamua kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kupata mtu nje ya Cabinet yake wa kuweza ku match na Mwabukusi? Hivi unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiri? Maana wakati mwingine huu uchawa ukizidi inakuwa ujinga unafikiri unasifia kumbe unamponda Samia kuwa ni dhaifu hadi ahitaji msaada wa mtu ambaye alishampiga kibuti, ndiyo yale yale ya Awadh kufanya ujinga akifikri anamfagilia njia Samia kwa kuihujumu Chadema kumbe anaiharishia kazi ya Samia aliyoifanya kwa miaka mitatu.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
👍👊👊nchi inapigwa kila leo
Ile ilikuwa AlkasusNi yule aliyeleta juisi za madgaska?
Kwa akili yako kisoda hatujashitakiwa na kulipa mabilioni na kesi nyingine bado zinaunguruma huko ughaibuni?Nyie si ndio mlisema tutashtakiwa MIGA kilikuwa wapi?? Tusisingizie sheria wakati ziko wazi na kinavhopaswa ni utekelezaji, mtu akikutafuta hakosi Sababu
Hakuna jipya! Pale mihimili inapokiuka katiba na Sheria za nchi lazima TLS wasimame kueleza ukiukwaji huo. Maana tumeshuhudia pia vyombo vya kusimama na kutoa haki( mahakama) vikishindwa kufanya hivyo kwa shinikizo kutoka kwa watawala.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Tatizo lako ni kiherehere na sio kingine, sasa sheria ina tatizo gani??? Kuhakikisha kuwa Tanzania inafaidika na maliasili ndio ubaya wa sheria??Kwa akili yako kisoda hatujashitakiwa na kulipa mabilioni na kesi nyingine bado zinaunguruma huko ughaibuni?
Kosa ni kuvunja mikataba kihuniTatizo lako ni kiherehere na sio kingine, sasa sheria ina tatizo gani??? Kuhakikisha kuwa Tanzania inafaidika na maliasili ndio ubaya wa sheria??
Sasa kama watendaji wameamua kwa makusudi kutotimiza wajibu wao na kupelekea nchi kuingia kwenye migogoro unailaumu vipi sheria??
Je kabla ya hiyo sheria hatujawahi kushtakiwa??? Jibu ni ndio ni kwanini
Ndio ujue kuwa Sheria ni nzuri ila watekelezaji ndio wanaliponza Taifa, either kwa kusudi au kutokukusudia lakini twende mbele ama turudi nyuma
Hakuna kushtakiwa pasipo na kosa, ujiulize kosa letu liko wapi
Maana kila mkataba unaendana na sheria
Mwabukusi, si Mwambukusi.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Kabudi huyu huyu aliyeleta dawa ya Covid toka Madagascar?Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Kwani Mwambukusi majukumu yake ndo majukumu ya Waziri wa Sheria?? Mbona naona hoja yako ipo Kichawa zaidi.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.