Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

Simba na Yanga ni watani wa jadi sisi sio rivals inabidi watu wengi wajue hivyo

Simba na Yanga ni kama Everton na Liverpool sio kama Red Star Belgrade na Fk Partizan au Man Utd na Man city

Mashabiki oya oya hawajui hili ndio maana kutwa unaskia shabiki wa simba kapigwa kisa kaenda kucheck game ya yanga!

Tukumbushane kila mara hili kuwa sisi ni watani sio maadui
 
Sababu Yanga ni timu ya Wananchi

Yanga na simba sio maadui wala sio mahasimu bali ni watani wa jadi
 
Back
Top Bottom