Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo.
Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko mikoani kuja Dar kuangalia mechi hiyo. Huku ni kuwahumiza watanzania wanyonge kitu ambacho hayati JPM hakukubaliana nacho kabisa. Tunajua mambo ya mpira hayaingiliwi na serikali ila hili limegusa ustawi wa wananchi hivyo lazima kuwajibishwa kungetokea tu.
Sidhani kama huyu waziri angekuwa na kazi hadi muda huu sema tu ndo hivyo tumerudi kwenye nchi ya kibepari " Mwenye nacho ndo ana Haki ya kusikilizwa"
Wanyonge mliosafiri toka mikoani kuja kuangalia mechi halafu mechi hamkuona poleni kwa gharama mlizotumia