Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kwenye jina lako ukiondoa e ya mwisho ukaeYaan niache kumkumbuka baba angu marehem nianze kumkumbuka magufuri? Kwa lipi hasa alilowafanyia watanzania?
Daah sasa naanza kuamin tz tuna vilaza wengi sana pia wasiojua nini kiliendelea chini ya uongoz wa nduli jpm.
Siku ukijajua ukweli wa utawala na kile kilichokuwa kinaendelea utajidharau sana .
Bora kumkumbuka hata shetani ana nafuu kidogo
Acha tu, yanayoendelea sasa ni vurugu mechi tu....Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo.
Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko mikoani kuja Dar kuangalia mechi hiyo.
Huku ni kuwahumiza watanzania wanyonge kitu ambacho hayati JPM hakukubaliana nacho kabisa.
Tunajua mambo ya mpira hayaingiliwi na serikali ila hili limegusa ustawi wa wananchi hivyo lazima kuwajibishwa kungetokea tu. Sidhani kama huyu waziri angekuwa na kazi hadi muda huu sema tu ndo hivyo tumerudi kwenye nchi ya kibepari " Mwenye nacho ndo ana Haki ya kusikilizwa"
Wanyonge mliosafiri toka mikoani kuja kuangalia mechi halafu mechi hamkuona poleni kwa gharama mlizotumia