Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Naombeni msaada kwa anaejua namna ya kupata mwekezaji kwenye eneo liko Arusha liko karibu na migodi mingine mererani.. japo kwa mbali kidogo na lina madini. Mwekezaji mwenye nguvu anahitajika njia gani nitumie
 
Mkuu kuna utaratibu gan wa kusafirisha madini nje?
 
Natafuta soko la Green aventurine rocks au kwa mtu naeweza kutafuta soko tufanye biashara..mzigo upo wa kutosha Wilayani Babati-Manyara
 
Wadau kuna group moja la mining naomba nilete link yake ili tuzidi kupeana ujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…