Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Naomba kujua kama kweli hii ni ruby nyekundu
 
mwenye kufahamu yanapopatikana madini cheap stone aina ya foolish gold...in ya kilo..yanakuwa na Rangi kama ya dhahabu au shaba...yenyewe ni makubwa ...kuna soko sehemu nimepata
Mkuu mie najua yalipo tena ni mengi sana
 
Niko morogoro vijijin uku Malinyi mkuu na kama kwel ruby au spinel,je bei zake zipoje
Ruby huku arusha yanabei nzur kutegemeana na quality na size
Kama clarity ni nzuri 0767335778 mkuu nipo arusha
 
Mi natafta mtu mwenye vitalu vya dhahabu vilivyo fanyiwa exploration. Tunahitaji kuwekeza kwenye dhahabu ila shida vitalu.
 

Mshumbishi, kuna vitu gani muhimu inabidi nivifahamu kabla ya kuja kwa rafiki yangu kutoka Korea ambae anataka kuja kununua madini ya Tanzanite.
 

Hivi hawa wataalamu wa miamba wanalipwa kwa bei gani.. nahisi hakuna fiksi bei hii itakuwa inategemeana na ugumu wa kazi.
Huko Mererani bado kuna potential areas ambazo zina madini ya Tanzanite??
 
kama unaanza na unataka kununu nibora uwene kwenye machimbo ya dhahabu na ukate leseni kama broker ila lazima ujue dhahabu ili wasikulee mafake hii ya borker inakuwa kama 250,000/= kunachunya ,shinyanga , etc

Mkuu me naomba kujua hivi hii broker license moja inaweza kutumiwa na watu wangapi au kubeba majina mangapi?...maana kuna jamaa ameniambia yeye alichukua moja akasajili jina lake na mke wake na akasema ina chukua hata majina matatu.
Au hiyo ilikuwa ni system ya zaman?
 
kwa kawaida inaweza kutuimiwa zaidi kama mpo share
 
Niko Dodoma Nina Vito vingi ,ninaomba siku ikitokea ukaja Dodoma tuonane nikuonyeshe kisha tuyajenge,kama vipi namba yangu 01717 075 65
Hiyo namba ya simu vipi!? Siyo sahihi ebu itoe vizuri tuwasiliane, tunaweza kufanya kazi ya kuuza nje kama MASTER DEALERS au kama anavyowaita Mshumbusi SUPER DEALERS. Sheria ya Madini inawatambua kama Master Dealers, Asante, funguka ndugu "ehee kumbe".
 
Kwa wewe uliyr nje ni rahisi kuingia kwenye biashara ya dhahabu kwa uhakika, nakushauri utafute zana za kupimia za uhakika kwani unaweza kuuziwa fake gold. Jitahidi upate testers nzuri, zinazoweza kukusaidia kwenye hii shughuli, then njoo ununue dhahabu ni ya kumwaga Tanzania,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…