Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Mkuu soko la greentomaling linapatikana wapi nina mlima mahali una huo mzigo hapa Manyara
 
Na niliambiwa China kuna soko hata la greentomaling iliyoungua je unalifahamu hilo mkuu?
 
Gram moja ya gold ni how much kwa sasa nikitaka ya jumla ambayo iko finished tayari!??
Bei ya leo ni kati ya tsh 84000 na 88000 tsh lakini dhahabu soko lake hupanda na kushuka kila siku na bei ni moja dunia nzima kulingana na msimamo wa Dolla pia
 
dah mkuu pole na hongera asee,,mi sijawah kbs kuifikiria hii biashara ila vp kuhusu dhahabu ya south africa mana kuna msouth anayo ila anataka aje kuuzia tz,,soko likoje? na taratb za kuingiza madini toka nje ya nchi zikoje?
 
Mimi niko na eneo ambapo nahisi pana madini ni ni jinsi gani nitajua eneo ambapo madini yapo japo sitaki kuyachimba
 
Mimi niko na eneo ambapo nahisi pana madini ni ni jinsi gani nitajua eneo ambapo madini yapo japo sitaki kuyachimba

apo lazima upate mtafiti wa miamba( geologist) alifanyie uchunguzi eneo lako ili kubaini kama lina madini au laa..
 
Nitajuaje Dalili za madini kwenye mwamba? Mm nipo Arusha
 
Nahitaji nielekezwe sehem za madini kwa sasa maeneo ya SONGEA..maana nakumbuka maeneo ya Kitai na sehem za karibu na hapo ila kqa sasa mkanda umekauka
So nataka nijue ni wap yametoka tena yq dizain ile nifanye Ubrokers
 
JARIBU KWENDA SONGEA,NAMTUMBO KWENYE AQUAMARINE...NNA ORDER YA AQUAMARINE LAKINI ILE QUALITY YA CABOSHON....NI PM KAMA UTAPATA IDEA YOYOTE

OVA
Nahitaji nielekezwe sehem za madini kwa sasa maeneo ya SONGEA..maana nakumbuka maeneo ya Kitai na sehem za karibu na hapo ila kqa sasa mkanda umekauka
So nataka nijue ni wap yametoka tena yq dizain ile nifanye Ubrokers
 
Jamani mimi na blue copper ipo dar nataka tajir wakufanya nae kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…