Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Kwa wale wataalam wa Madini, naweza kujua haya mawe ni Madini gani?
Ningependa kwa anaeyajua anieleweshe.

Note:km hujui kitu ni bora ukapotezea huu uzi. Wapo wengine asili yao ni matusi,dharau,kebehi ilimradi aonekane amechangia. Pia wanapenda kukatisha wengine tamaa. Tabia hii sio nzuri.
66dfc21894c39c0beb71ab2bd91c6eab.jpg
2f4fb7560d785dd31fef4c4a6c3cc7ed.jpg
129cf04db3bbd181a65dff0a52f669ee.jpg
 
Hayo ni mawe ya kawaida na wala hayana madini yoyote, huku kwetu tunayatumia kujengea msingi wa nyumba
 
habari jf

kama unaitaji kujua ,kufanya biashara ya madini ndni ya tanzania baasi njoo hapa na uhulize kitut chochote utajibiwa
kwa wanaotakakuwekeza kwenye dhahabu ,madini ya vito ,yaliyo katwa na yasio katwa baasi huu ndio wakati wa kutumia fulsa hii adimu

karibu
Ndugu yangu jinsi ya kupata leseni na mtaji uwe ngapi hii ni biashara ya ndoto yangu
 
mwenye group la whatsapp au telegram lihusulo. madini naomba link
 
Back
Top Bottom