Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee hapa hizo clips akimsengenya rais.
Majungu si mtaji.
Usengenyaji haufai.
Uongo ni dhambi.
Fitina hazijengi
Nyie mlikuwa wapi hamkuziona hizo clips? Mbona mwamba nyie wasumbufu? 😁😁😁Tuwekee hizo clips
Sasa kama alikuwa hamkubali si ndio alionesha wazi?Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Jamaa wewe umenena kitu ambacho ni kikubwa chenye ncha kali ya ufahamu na elimu. Yaani mama lazima 2025 achukue nchi tena na wale watakao ota mikia kabla ya 2025 watakatwa (mwigulu, makamba etc).Makamba hata hivyo, hatakawia kuumbuka. Kwani hiyo ndo tabia yake. Tena kwa huyu mama ataumbuka mapema na sana. Mtakumbuka maneno haya muda si mrefu.
Rais wa sasa anapoteuwa watu waliokuwa wanapinga au hawafurahii aliyokuwa anayafanya Rais aliyepita, MAANA YAKE HATA RAIS WA SASA HAKUYAPENDA YA MTANGULIZI WAKE... Hivyo tusishangae serikali kujaa walioteswa na mtangulizi... Na ogopa sana timu ya walioonewa wanapopata nguvu... Mliokuwa kwenye timu ya waonevu mtalia na kusaga meno... HII INAITWA KUTESA KWA ZAMUJapokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Unajisikiaje vibaya kuwa na akili kama role model wako(Jiwe) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fool
Hizi ambazo majaji wanateuliwa na hilo hilo hizi la kura?Ungeenda mahakamani.
Huyo mama ni mnafiki sana hana lolote!Dini imembeba.
Hata hivyo umemsikia mama akiupiga mwingi.
"MIMI SIWEZI KUSIMAMA HAPA NA KUFOKAFOKA"
[emoji3516][emoji3516]huu ujumbe alikua anamsema JPM maana ndo alikua anafokafoka hovyo. HIvyo maanake hakumkubali JPM
😀🤣😂😁Huyo mama ni mnafiki sana hana lolote!
Mama ni mtu wa haki msiwe na hofu.Hizi ambazo majaji wanateuliwa na hilo hilo hizi la kura?
Kuloby tu ila hafai kabisa.Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Tuwekee acha wenge wengine tulikuwa nje ya mfumo wa internetNyie mlikuwa wapi hamkuziona hizo clips? Mbona mwamba nyie wasumbufu? 😁😁😁
Ulichosema ni kweli kabisa kumhusu Januari Makamba! Unajua tabia ya mtu haina ubaguzi, hata Rais SSH naye angoje ya kumpata kama yale yaliyompata JPM. Position huwa haibadilishi tabia ya mtu, kama ni mzandiki ni mzandiki tu! Si mnaona namna Spika alivyomgeuka JPM kwenye suala la Bandari ya Bagamoyo. Hao ndio ndio hao, hawabadiliki kitabia hata wapewe vyeo gani kwani huwa kuna kitu wanakilenga siyo hivyo vinafasi kwenye Kabineti!Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Makamba, Nape, Riziwani kiranja wao na aliyekuwa anawapa taharifa ni mama wakati huo akiwa makamu na leo ni top!Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Usongombwingo. Au unafiki.Nini maana ya"Mzandiki'?
Mkuu,Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?
Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.
Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Other gangs have never ever been in power.How many gangs do we have in TZ? Sukuma is one of them and possibly Chagga gang what about others?
Lissu alipigwa risasi mchana kweupe, ulisikia Jiwe akikemea?Makamba, Nape, Riziwani kiranja wao na aliyekuwa anawapa taharifa ni mama wakati huo akiwa makamu na leo ni top!
JPM alizungukwa na wasaliti!
Hata baada ya kifo chake ametukanwa na kubezwa, je ulishawahi kusikia sauti ya Rais wetu anakemea?
Makamba ameingia
Riziwani loading.....
Nape loading.....
Membe anarudi CCM mwaka kesho kabla ya uchaguzi wa chama. na atakuwa mjumbe wa halmashauri kuu!
Dini zinatuasa kusamehe 7 mara 70. Nani hakosei?Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.