Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Sasa kama alikuwa hamkubali si ndio alionesha wazi?

Na mhusika alichukua hatua sasa kama anamuelewa mama ulitakaje? Mengine ni majungu na chuki binafsi.
 
Makamba hata hivyo, hatakawia kuumbuka. Kwani hiyo ndo tabia yake. Tena kwa huyu mama ataumbuka mapema na sana. Mtakumbuka maneno haya muda si mrefu.
Jamaa wewe umenena kitu ambacho ni kikubwa chenye ncha kali ya ufahamu na elimu. Yaani mama lazima 2025 achukue nchi tena na wale watakao ota mikia kabla ya 2025 watakatwa (mwigulu, makamba etc).
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Rais wa sasa anapoteuwa watu waliokuwa wanapinga au hawafurahii aliyokuwa anayafanya Rais aliyepita, MAANA YAKE HATA RAIS WA SASA HAKUYAPENDA YA MTANGULIZI WAKE... Hivyo tusishangae serikali kujaa walioteswa na mtangulizi... Na ogopa sana timu ya walioonewa wanapopata nguvu... Mliokuwa kwenye timu ya waonevu mtalia na kusaga meno... HII INAITWA KUTESA KWA ZAMU
 
Ya Magufuli yaliyofanya waliomsema wakamsema hamukuyaona?.
 
Dini imembeba.

Hata hivyo umemsikia mama akiupiga mwingi.

"MIMI SIWEZI KUSIMAMA HAPA NA KUFOKAFOKA"
[emoji3516][emoji3516]huu ujumbe alikua anamsema JPM maana ndo alikua anafokafoka hovyo. HIvyo maanake hakumkubali JPM
Huyo mama ni mnafiki sana hana lolote!
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Kuloby tu ila hafai kabisa.
 
Ulichosema ni kweli kabisa kumhusu Januari Makamba! Unajua tabia ya mtu haina ubaguzi, hata Rais SSH naye angoje ya kumpata kama yale yaliyompata JPM. Position huwa haibadilishi tabia ya mtu, kama ni mzandiki ni mzandiki tu! Si mnaona namna Spika alivyomgeuka JPM kwenye suala la Bandari ya Bagamoyo. Hao ndio ndio hao, hawabadiliki kitabia hata wapewe vyeo gani kwani huwa kuna kitu wanakilenga siyo hivyo vinafasi kwenye Kabineti!
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Makamba, Nape, Riziwani kiranja wao na aliyekuwa anawapa taharifa ni mama wakati huo akiwa makamu na leo ni top!
JPM alizungukwa na wasaliti!
Hata baada ya kifo chake ametukanwa na kubezwa, je ulishawahi kusikia sauti ya Rais wetu anakemea?
Makamba ameingia
Riziwani loading.....
Nape loading.....
Membe anarudi CCM mwaka kesho kabla ya uchaguzi wa chama. na atakuwa mjumbe wa halmashauri kuu!
 
Mkuu,

Aliyemteuwa anatambua fika kitendo alichokifanya na kwa kuzingatia maadili ya taasisi ya Uraisi alitakiwa kufunguliwa kesi ya UHAINI ila basi busara ilitumika kupotezea

Hapo ndipo utambue kwanini alikuwa na 'guts' za kum-undermine the head of state.

Huyu ndiye atakayesababisha migogoro na chama chao kuchukiwa kuliko wakati wowote
 
Makamba, Nape, Riziwani kiranja wao na aliyekuwa anawapa taharifa ni mama wakati huo akiwa makamu na leo ni top!
JPM alizungukwa na wasaliti!
Hata baada ya kifo chake ametukanwa na kubezwa, je ulishawahi kusikia sauti ya Rais wetu anakemea?
Makamba ameingia
Riziwani loading.....
Nape loading.....
Membe anarudi CCM mwaka kesho kabla ya uchaguzi wa chama. na atakuwa mjumbe wa halmashauri kuu!
Lissu alipigwa risasi mchana kweupe, ulisikia Jiwe akikemea?
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Dini zinatuasa kusamehe 7 mara 70. Nani hakosei?
 
Back
Top Bottom