Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhundi kwa Ubahiri.
Nimekaa upareni... Napenda Chakula cha upareni " Kishumba'" Kitamu...
Na uchagani....
Mi Binafsi napenda sana mwanamke wa kichaga/ Mpare.
 
Laumu poor marketing strategies zako,sio kabila.Hata hivyo sioni vibaya wakiwa bahili,maana pesa wanazipata kupitia kazi ngumu.Yaani ushinde na mzigo wa mazaga tofauti mkononi unazurura huku na huko kisha ukipata hela ukazitumie vibaya?
 
Aise kwenye ubishi tu mimi nimewashindwa hawa watu.

Wana ubishi wa kijinga sana hata kama hana uelewa na jambo fulani atakaza bichwa kijinga kubisha.

Nilitemana na demu wa kiha sababu ya ujuaji na ubishi.
 
Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhundi kwa Ubahiri.
Hulka hiyo ya ubahiri ndiyo iliyowezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati kupitia waziri wa fedha wakati huo, Mhishimiwa G. Mpango..... Au nakosea ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…