Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

WAKISHATENGANISHA WEWE UNAPATA FAIDA GANI?
FB_IMG_16907896468721675.jpg
 
Mhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani.

Hapo hakuna udunga dunga wowote wamebanana tu na gari ikiwa inatembea lazima hiyo hali itokee na ndio mana nyuma ya huyo jamaa kuna mtu tena mwingine nyuma yake , na alivyo ona kazidiwa akaamua kugeuka tu.
 
Sijaona ubaya hapo. Kwanza jamaa anajiheshimu alivyoamua kugeuka. Ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali. Mimi mwenyewe hiyo hali huwa inanitokea lakini huwa nakwepa. Pongezi nyingi sana kwa waislamu kutenganisha wanawake na wanaume kwenye mikusanyiko.
 
Back
Top Bottom