Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Hii gia Lisu aliyoingiza akanyage wese mpaka Masajili na wenzake waulizane nani alimpitisha huyu mtu.
Haiwezekani CCM nzima kuanzia ngazi ya kata mpaka Taifa wanamjadili Lisu tu
Tundu Lissu Hold On a little bit longer.....they will eventually releslase.
 
CHADEMA yasisitiza jimbo la Karatu wanatanguliza Maendeleo ya Watu katika elimu iliyo bora kujiwezesha kuelimika kiukweli ili kuwa na uhuru wa kujiajiri kwa kujifanyia shughuli za kujiingizia kipato, haki ya afya bora ili kuweza kufanya kazi kwa bidii na bila kusahau maji safi ni uhai
 
Chadema wamejisazia wagombea bora kila kona ya nchi.
 
Naweza kusema Cecilia amefanya mkutano wa jimbo bora na wenye mafuriko makubwa kuliko mgombea yoyote wa ccm hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…