Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Kuna taarifa kwamba kuanzia Octoba mosi Lissu atafyatuka zaidi kuliko sasa

Usiseme, "kuna taarifa kuwa ata...."

The two last weeks of the Campaign ndiyo muda wa kutumia SILAHA ZA MAANGAMIZI...

Hii ni kanuni ya kivita katika uwanja wa mapambano popote pale...

CCM na Magufuli wao wameshamaliza silaha zao zote: SGR, ndege za Bombardier, Stigla Goji na Chato International Airport zimesha - prove big failure na zinegeuka kuwapiga wenyewe...

Angalia kaa la moto la uwanja wa ndege Chato linavyowachoma. Hawana raha, hawana Amani. Hawana utulivu wa nafsi na akili totally. Ni mvurugano mwanzo mwisho....
 
Bongo flavor wanamkosea adabu mgombea wa CCM...nikisema Magu mnasema fool...Magu fool au nasikia vibaya
 
Mkuu, unawapanikisha zaidi timu wasanii!!
 
Back
Top Bottom