Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Uchaguzi 2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

Kuna taarifa kwamba kuanzia octoba mosi Lissu atafyatuka zaidi kuliko sasa
Jamani jamani mtaua sasa. Nasikia wiki iliyopita miraja gani sijui ilichomoka na mheshimiwa akakimbizwa haraka dodoma ili pamoja na mambo mengine kurecharge kale kabetri
 
Karatu wilaya yenye wanawake warembo sijapata ona, weupe, shepu na mywele ndefu. Kama umeshafika Ethiopia hauwezi tofautisha. Ukipita kwenda Ngorongoro weka bajeti ya kulala pale. Kuna hotel nzuri na campsite nyingi. Kubwa kuliko wanapenda Chadema balaa, Mbunge ukihama hawakufuati Dr. Slaa anawajua vizuri.
 
Msajili apeleka barua kwa boda boda,,,spana zimekolea angalia video hiyo
Hii gia Lisu aliyoingiza akanyage wese mpaka Msajili na wenzake waulizane nani alimpitisha huyu mtu.
Haiwezekani CCM nzima kuanzia ngazi ya kata mpaka Taifa wanamjadili Lisu tu na sio ilani ya chama chao.
 
Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?

Umuhimu wa Lissu kwenda Karatu upo pale pale maana hawa mashetani wa kijani wana mbinu chafu sana.

Kwenda kwa Lissu ndiyo kutazidi kuwakata maini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA yasisitiza jimbo la Karatu wanatanguliza Maendeleo ya Watu katika elimu iliyo bora kujiwezesha kuelimika kiukweli ili kuwa na uhuru wa kujiajiri kwa kujifanyia shughuli za kujiingizia kipato, haki ya afya bora ili kuweza kufanya kazi kwa bidii na bila kusahau maji safi ni uhai

🙆🙆🙆🙆🙆 MAMA KATISHA HONGERA SANA YANI MAMA WEWE NI ICBM
 
Chadema imejitahidi sana kusimamisha wabunge wanawake,safi sana.

Na mwaka huu wanawake wameonyesha kua na misimamo mikali ya kutonunulika kama bidhaa kama vile wanaume wakina Silinde&associates.
Mungu awape afya njema aisee uyo mama ni machine hatari kawapoteza CCM kabisa
 
Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?

Ndiomaana nimemuona mpomo soler aka samaki ndubu kwakweli akiwaviwanja vya msigwa kakonda alafu mtuanakwambia urais nimateso mbona mkikaa kwenyekiti mnanepa
 
Kwenda ni lazima ili MiCCM ianguke na kuzimia na kupitiliza huko Iringa
Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea ubunge wa Chadema Mh Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa Chadema kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?

UWONGO UWE UKWELI, MATUSI YAWE HOJA
Watajie wana JF uongo na matusi aliyoyasema Lisu.
Let us be systematic: What is a lie: a false statement made with deliberate intent to deceive; an intentional untruth; a falsehood. something intended or serving to convey a false impression

What is abusive language-abusive: using rude and offensive words:

Sasa twambie mi matusi na uongo gani Lisu amezungumza
 
Lazima kuna mtu anaumia sana, walitaka kummmaliza Mh. Tundu Antiphas Lissu na badala yake yeye ndiye anawamaliza wao. Walitaka kuimaliza Chadema na badala yake Chadema ndio inawamaliza na ikifika tarehe 28/10/2020 kuna mtu anaweza kukata roho kwa hofu. Washamba wote na limbukeni wanarudishwa makwao wakajifunze namna ya kuishi na watu kwa amani na ustaarabu.
 
Watajie wana JF uongo na matusi aliyoyasema Lisu.
Let us be systematic: What is a lie: a false statement made with deliberate intent to deceive; an intentional untruth; a falsehood. something intended or serving to convey a false impression

What is abusive language-abusive: using rude and offensive words:

Sasa twambie mi matusi na uongo gani Lisu amezungumza
Kuhusu Treni Mpanda na budget ya miradi inyoendelea nchini
kwamba wakurugenzi wote wa halmashauri nchini wameitwa Dodoma,

Dictatorship.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Back
Top Bottom