Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.
Tukija kwa tajiri yetu MO dewji.
yeye kwanza alikuwa kavaa kinjuga halafu kachomekea na kavaa miwani pia yupo peku,
kingine alipiga danadana utadhani anataka kupiga faulo,
Halafu kakaza mguu kama ubao wa draft.
huyu kweli mpira amevamia tu sasa nimeanza kuamini maana zile danadana alipiga tano tu tena kwa kubahatisha halafu akashindilia mpira kwa kichwa utosini sijui kisogoni hiyo..!
Mo dewji soka halimfai kabisa.. Mimi sio mamluki ni simba damu nimeona niseme ukweli..
Cc Ghazwat