PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
 
Mitano tena kwa kuweza kuongezea nchi uzalishaji wa umeme. Wakati anaapishwa mwaka 2021 , uzalishaji wa umeme ulikuwa MW 1800 ila chini ya utawala wake leo hii uzalishaji wa umeme ni MW 4000
 
Ukweli ni kwamba ni Tume ndio inambeba ndio maana tunasema hii tume sio fair wala free, kwahivyobasi sisi Wananchi wa Tanzania tunataka REFORMS kwenye hii tume.

Wahafidhina wa CCM wanamtia hofu tu lakini anaweza kushinda kihalali kabisa ndio maana tunasema NO REFORMS NO ELECTION.
 
Mitano tena kwa kuweza kuongezea nchi uzalishaji wa umeme. Wakati anaapishwa mwaka 2021 , uzalishaji wa umeme ulikuwa MW 1800 ila chini ya utawala wake leo hii uzalishaji wa umeme ni MW 4000
Mkuu, ukiondoa ushabiki wa kivyama, Mama kaferi mno na amechoka, nyinyi mnamlazimisha tu
 
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Maraisi walio zaliwa mchini zanzibar watatuteketeza
 
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Mkuu, bila mitano tena, chawa wake watakula nini?
 
IMG-20250327-WA0092.jpg
 
Ccm daima Samia mitano tena
 
Huyu kizimkaza ni janga la taifa! Ndio shida ya kuwa na rais wa bahati mbaya! Anayeongozwa na msoga jazz band kwa remote control... Utawala wake umekuwa ovyo kabisa kama awamu ya nne! Wizi, rushwa, ufisadi, ukiritimba, muhali, ovyo kabisa! Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake! Hewa kabisa, tena hewa chafu! Bureee kabisaaa!
 
Kiukweli Nchi inahitaji mabadiliko, huu UCHAWA na kusifiasifia hautalipekela taifa pazuri, watu wanakopa pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa wapiga dili wachache, tunahitaji Rais atakayesimamia vizuri rasilimali za nchi na kuziba mianya ya upigaji PESA hovyo
 
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Pesa zimetumika kudhamini timu zaidi ya 8 premier league ili yanga iwe bingwa
 
Back
Top Bottom