PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Unafahamu thamani ya miradi yenyewe? Kwa mfano kutandika SGR mpaka umalize lots zote ni Tshs ngapi ? Au bei ya JNHEPP bei yake hadi kumalizika ni kiasi gani?
 
Huwezi kuwa unakubarika ,unajiamini kwamba umeisimamia serikali yako vizuri, umefanya maendeleo makubwa alafu ati utumie Nguvu Nyingi kiasi ichi katika kusukuma Agenda za kugombea ,hakuna .

Utatumia Nguvu nyingi tu pale ujuavyo hukubaliki.
Report hii ya CAG , inafikilisha na imeivua Nguo Serikali, na hapa CAG hajafunguka yote kagusa gusa tu
 
Unafahamu thamani ya miradi yenyewe? Kwa mfano kutandika SGR mpaka umalize lots zote ni Tshs ngapi ? Au bei ya JNHEPP bei yake hadi kumalizika ni kiasi gani?
Mkopo wa 30.t +34.t ya bajeti kila mwaka, ziko wapi na zimefanya nini mkuu
 
Mitano tena kwa kuweza kuongezea nchi uzalishaji wa umeme. Wakati anaapishwa mwaka 2021 , uzalishaji wa umeme ulikuwa MW 1800 ila chini ya utawala wake leo hii uzalishaji wa umeme ni MW 4000
Kama Iko namna hiyo kuna haja gani ya kununua umeme kutoka Ethiopia? Majuzi hukusikia mpango wa Tanzania kununua MW kadhaa kutoka Ethiopia katika jitihada ya kupunguza upungufu wa nishati hiyo katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini?
 
Nyie pigeni kelele, sisi huku tumeagiza engine za diesel za treni ya mwendo kasi, suala la umeme linatuchelewesha, suluhisho tunakwenda na engine za diesel za treni ya mwendo kasi period hutaki nenda Burundi
 
For myself I respect Her Excellency Madam President Samia Suluhu Hasan.

Amenifanyia kitu kikubwa.

Mitano tena tafadhali.
 
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna

-Goli la Mama
-Chawa wa mama
-Mama asemewe
-Inflolensa wa mama na hapa ipo
-Deni la Mama
-Mama unaupiga mwingi
-ATCL,TRC,TTCL za mama

Mama anaupiga mwingi MITANO TENA.
 
Nyie pigeni kelele, sisi huku tumeagiza engine za diesel za treni ya mwendo kasi, suala la umeme linatuchelewesha, suluhisho tunakwenda na engine za diesel za treni ya mwendo kasi period hutaki nenda Burundi
Sawa mkuu, endeleeni bhana
 
Back
Top Bottom