PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Matumizi mazuri ya pesa, HUJAONA REPORT YA CAG??? 🤣🤣🤣

Mama mpaka 3035, mpaka akili ziwakae vizuri!!!

Mama anaupiga mwingi 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣
 
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?

Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika

Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara

Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?

Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Amejipitisha huko CCM bila kufuata utaratibu bila shaka atajipitisha October 2025 kutumia polisi, tume, usalama. Ana uchu mkubwa wa madaraka na hapendi kufuata taratibu au kupata upinzani wowote. Ni dictator haswa.
 
Mkopo wa 30.t +34.t ya bajeti kila mwaka, ziko wapi na zimefanya nini mkuu
Vichwa vingine sijui kama hata ukiambulia D 2 shuleni kwako. Hivi unadhani SGR na Bwawa la Umeme kufikia kukamilika ni fedha za kodi yako? Daraja la Busisi na Dodoma ring roads zinajengwa kwa kodi yako??

Huku Dar es Salaam nusu ya barabara kuu zimefumuliwa, unadhani World Bonk wamejenga bure?
 
Eti kwasababu ana macho mlegezo
Hapana hapa umeteleza Msemeni kwa cheo chake alicho nacho tafadhali, utu wake sio tija .

Binafsi najuta kutokua kwenye mtandao mpaka Mchengerwa akamnyakua yule bintie , safari hii sikubali ,Mama nitaposa mjukuu wa mama kama wamasai .

Mama hata leo ukimwangalia na ukapiga picha miaka 30 iliyopita , Mama alikua pisi kali jamani tukiweka mambo ya Urais pembeni jamani .
Kwa hili nakataa Urais ni Urais ,mambo binafsi ya Mungu alivyo umba tumwachie Muumba.

Post yako futa mkuu ,imeattack personality badala kama kiongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom