mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Mkuu, ukiondoa ushabiki wa kivyama, Mama kaferi mno na amechoka, nyinyi mnamlazimisha tuMitano tena kwa kuweza kuongezea nchi uzalishaji wa umeme. Wakati anaapishwa mwaka 2021 , uzalishaji wa umeme ulikuwa MW 1800 ila chini ya utawala wake leo hii uzalishaji wa umeme ni MW 4000
Maraisi walio zaliwa mchini zanzibar watatuteketezaKakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Mkuu, bila mitano tena, chawa wake watakula nini?Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Umemaliza mkuu, salute kwako!!.Vigezo viwili
1. Maslahi ya wachache
2. Ujinga wa wengi
Ccm daima Samia mitano tenaKakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Utaongozwa na vidole atakutia akiamua kwenye hilo nyanshi lako bovu!Mwaka huu hatuongozwi na malaya tena
Pesa zimetumika kudhamini timu zaidi ya 8 premier league ili yanga iwe bingwaKakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?