Unafahamu thamani ya miradi yenyewe? Kwa mfano kutandika SGR mpaka umalize lots zote ni Tshs ngapi ? Au bei ya JNHEPP bei yake hadi kumalizika ni kiasi gani?Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Hahahaha. Ni madeni ya Taifa, pesa ndiyo za mama.Madeni ya mama hutasikia hilo neno
🤣🤣🤣🤣🙏🙏Vigezo viwili
1. Maslahi ya wachache
2. Ujinga wa wengi
Mkopo wa 30.t +34.t ya bajeti kila mwaka, ziko wapi na zimefanya nini mkuuUnafahamu thamani ya miradi yenyewe? Kwa mfano kutandika SGR mpaka umalize lots zote ni Tshs ngapi ? Au bei ya JNHEPP bei yake hadi kumalizika ni kiasi gani?
Kama Iko namna hiyo kuna haja gani ya kununua umeme kutoka Ethiopia? Majuzi hukusikia mpango wa Tanzania kununua MW kadhaa kutoka Ethiopia katika jitihada ya kupunguza upungufu wa nishati hiyo katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini?Mitano tena kwa kuweza kuongezea nchi uzalishaji wa umeme. Wakati anaapishwa mwaka 2021 , uzalishaji wa umeme ulikuwa MW 1800 ila chini ya utawala wake leo hii uzalishaji wa umeme ni MW 4000
Hapo umetoka nje ya msitari my friend, sema linginePesa zimetumika kudhamini timu zaidi ya 8 premier league ili yanga iwe bingwa
Mkuu, ukiondoa ushabiki wa kivyama, Mama kaferi mno na amechoka, nyinyi mnamlazimisha tu
Sio ameishusha simba daraja?Amepatanisha simba na Yanga 😎
Lini?Sio ameishusha simba daraja?
Baada ya derby kutochezwaLini?
Kwahy simba tayari wapo championship?Baada ya derby kutochezwa
Ngoja tumuulize spidermanKwahy simba tayari wapo championship?
Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Sawa mkuu, endeleeni bhanaNyie pigeni kelele, sisi huku tumeagiza engine za diesel za treni ya mwendo kasi, suala la umeme linatuchelewesha, suluhisho tunakwenda na engine za diesel za treni ya mwendo kasi period hutaki nenda Burundi