Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Matumizi mazuri ya pesa, HUJAONA REPORT YA CAG??? π€£π€£π€£Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Kweli MITANO TENA.Matumizi mazuri ya pesa, HUJAONA REPORT YA CAG??? π€£π€£π€£
Mama mpaka 3035, mpaka akili ziwakae vizuri!!!
Mama anaupiga mwingi π π π π π€£π€£π€£π€£
Amejipitisha huko CCM bila kufuata utaratibu bila shaka atajipitisha October 2025 kutumia polisi, tume, usalama. Ana uchu mkubwa wa madaraka na hapendi kufuata taratibu au kupata upinzani wowote. Ni dictator haswa.Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja?
Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika
Trilion 15, huku miradi yote haijakamilika tokea Iachwe na mwendazake? Na hapo ni mkopo wa mwaka mmoja tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ripoti ya CAG, hakuna taasisi wala shirika lolote la Serikali ambalo halijapata hasara
Sasa, tumchague na kumpa mitano ili akafanye nini ambacho ataweza?
Si kila fupa mtu yeyote anaweza kulitafuna
Maslahi binafsi ni msingi wa uchawa!For myself I respect Her Excellency Madam President Samia Suluhu Hasan.
Amenifanyia kitu kikubwa.
Mitano tena tafadhali.
Vichwa vingine sijui kama hata ukiambulia D 2 shuleni kwako. Hivi unadhani SGR na Bwawa la Umeme kufikia kukamilika ni fedha za kodi yako? Daraja la Busisi na Dodoma ring roads zinajengwa kwa kodi yako??Mkopo wa 30.t +34.t ya bajeti kila mwaka, ziko wapi na zimefanya nini mkuu
Hapana hapa umeteleza Msemeni kwa cheo chake alicho nacho tafadhali, utu wake sio tija .Eti kwasababu ana macho mlegezo