GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote.
Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19 inachagua maeneo? Kama White House ya Marekani ( tunakoamini kuna Umakini, Usafi na Ustaarabu wote wa Kiafya ) upo tena hadi Kumkumba na Rais Mwenyewe Joe Biden ndiyo ushindwe kuwepo Kwenu ambako Usafi ni wa Kulazimishana na Kupangiana kila Jumamosi?
Amueni moja kama mnadhani Tanzania bado kuna COVID-19 tulazimisheni Watu wote tuvae Barakoa na kama mnaamini hakuna ( haupo ) basi zuieni Watu Kuzivaa kuliko huu Unafiki wenu mnaotuonyesha Viongozi wetu mpaka sasa Watanzania wote tunaonekana hatueleweki, tupo tupo tu na tuna Akili za Kipa Katoka ( namaanisha Mapopoma ) watupu.