Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka.
Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika.
Kuendelea kujiita nutral state wakaki unaona Kuna watu wanaumia ni hatari kwa baadae.
Serikali ya urusi na washirika wake (beralus n.k) wanaenda kupigwa na kitu kizito muda si mrefu.