Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ni ujinga mkubwa na uwezo duni wa akili kufikiria Marekani au Ulaya wanaipia ufadhili Al Shabab ya Somalia, hiyo ni sawa na kumtuhumu Sheikh wa swala tano kumiliki bucha la kitimoto.
Wanaofanya uporaji wa rasilimali DR Congo na kuuza silaha haramu ni watu wa mataifa yote. Wapo Warusi, Wachina, Makaburu, Waganda, Wanyarwanda n.k Wazungu waliwahi tu.
Hata wewe ukiwa na uwezo unaweza kuibukia huko. Tatizo la Congo ni serikali dhaifu ambayo hushindwa kuitawala na kufanya nchi nzima ikae katika utawala wa sheria.

Mkuu Tumia akili kidogo tu, Ukraine Nchi kubwa ila inaomba misaada sababu ya Vita, Even Urusi kabla Ya Vita Putin alienda Beijing pale,
Mwanajeshi unamnunulia silaha, unamvisha, unamlisha, unahudumia familia yake na gharama nyengine kibao.
Je unafikiri Kundi la Kigaidi linawezaje kuhudumia maelfu ya watu bila source ya income?
Mfano Al shabaab just mwaka jana wamespend $24M usd kununua silaha zaidi ya Bilioni 50 hizo hela wanatoa wapi? Kumanage Hilo jeshi inacost matrilion ya Hela. Hasa kwa vita zinazochukua miaka zaidi ya 10 ni impossible kwa kikundi tu kidogo kufanya hivi bila Backing ya Nchi fulani. Hili Kundi limeanzishwa na Bibie Samantha, eti Mzungu kazaliwa uingereza Kasilimu na kuja kuanzia kundi la Kigaidi Africa.
Hapo Congo mkuu angalia Hao wamiliki na Wachimbaji ni kina nani, Nani anaewatesa watoto wa Congo na kuwaua kwa Kemikali kali? Si kina Dan Gertler Bilionea wa Israel hapo ambaye anaishi Marekani? Wanatumikishwa watoto ili tumiliki Iphone na Electronics nyengine?