Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Yaani ndiyo maana tunadharaulika.. Nato anahusikaje na machafuko ya Mashariki mwa DRC? Mali, na machafuko ya wale ant baraka na Muslim huko CAR?Umejuaje kuwa Hana sababu za kutosha? Nadhan hujazitafuta.
HAO NATO Pia hawatendi haki.. Anza na DRC, Nenda Mali, CAR, angalia magaidi wa Boco haram na msumbiji. Hawa nguruwe ndo sponsors.
Ngoja dunia itafute balance
Kwamba hujui maovu ya hao jamaa kwenye bara letu?Yaani ndiyo maana tunadharaulika.. Nato anahusikaje na machafuko ya Mashariki mwa DRC? Mali, na machafuko ya wale ant baraka na Muslim huko CAR?
Wakione kwa nani? Kwanini mnahisi Europe itapoteza? My friend vita hii ni pigo kwa Afrika maana mrusi tunayemuunga mkono anaenda kutandikwa.Kwamba hujui maovu ya hao jamaa kwenye bara letu?
I rest my case. Ngoja hao Europe nao wakione cha moto
huo ndio ujanja na hiyo kauli haita badilika tunaishi kwa kilimo mzalishaji mkubwa wa mbolea ni mrusi vifaa mchina hatuna upande ibaki hivyo hivyoHatufungamani na upande wowote sisi ndio msimamo wetu.
huu usingiziaji utaendea kuitafuna Africa hadi siku mtakapo amua kuusema ukweli.Umejuaje kuwa Hana sababu za kutosha? Nadhan hujazitafuta.
HAO NATO Pia hawatendi haki.. Anza na DRC, Nenda Mali, CAR, angalia magaidi wa Boco haram na msumbiji. Hawa nguruwe ndo sponsors.
Ngoja dunia itafute balance
Ni wapo Africa imemuunga mkono Russia?Nijuavyo sisi Tanzania na baadhi ya mataifa tumeamua kuwa neutral!Wakione kwa nani? Kwanini mnahisi Europe itapoteza? My friend vita hii ni pigo kwa Afrika maana mrusi tunayemuunga mkono anaenda kutandikwa.
[emoji1][emoji1][emoji1]Wakione kwa nani? Kwanini mnahisi Europe itapoteza? My friend vita hii ni pigo kwa Afrika maana mrusi tunayemuunga mkono anaenda kutandikwa.
[emoji1][emoji1] Wamarekani wa kwa mpalange wanajitoaga akili sana.Ni wapo Africa imemuunga mkono Russia?Nijuavyo sisi Tanzania na baadhi ya mataifa tumeamua kuwa neutral!
Huwezi kujua na ndio ukae kwa kutulia...Yaani ndiyo maana tunadharaulika.. Nato anahusikaje na machafuko ya Mashariki mwa DRC? Mali, na machafuko ya wale ant baraka na Muslim huko CAR?
We nae unaakili za chooni so we ilitaka kuwaona nato na us huko congo au hujui kuwa hao nato na us wanawatumia mamluki wao kuvuna hizo mali za afrika ....Yaani ndiyo maana tunadharaulika.. Nato anahusikaje na machafuko ya Mashariki mwa DRC? Mali, na machafuko ya wale ant baraka na Muslim huko CAR?
Ni wapo Africa imemuunga mkono Russia?Nijuavyo sisi Tanzania na baadhi ya mataifa tumeamua
Mkuu shukrani kuniita choo. UbarikiweWe nae unaakili za chooni so we ilitaka kuwaona nato na us huko congo au hujui kuwa hao nato na us wanawatumia mamluki wao kuvuna hizo mali za afrika ....
na kule mali hujui kuwa ufaransa anahusika huko au unajitoa ufahamu ........
Mkuu Tumia akili kidogo tu, Ukraine Nchi kubwa ila inaomba misaada sababu ya Vita, Even Urusi kabla Ya Vita Putin alienda Beijing pale,Yaani ndiyo maana tunadharaulika.. Nato anahusikaje na machafuko ya Mashariki mwa DRC? Mali, na machafuko ya wale ant baraka na Muslim huko CAR?
Miaka kadhaa iliopita hao unaowatetea walikuwa wanakutawala, wakamtumikisha babu yako, wakamlimisha na kuchukua mali za Bara lako.Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika. Kuendelea kujiita nutral state wakaki unaona Kuna watu wanaumia ni hatari kwa baadae.
Advertisement
Serikali ya urusi na washirika wake (beralus n.k) wanaenda kupigwa na kitu kizito muda si mrefu..
View attachment 2179633
Tz hatuwezi kuungana na mashoga wa US/EU/NATO.View attachment 2179649