Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina.
Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za kutosha ameumiza ulimwengu.
Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za kutosha ameumiza ulimwengu.