Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
"Usianzishe ugomvi wa mawe kwa adui ilihali unaishi kwenye nyumba ya vioo".Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina.Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za kutosha ameumiza ulimwengu.
nato wajiorganize.Usianzishe ugomvi wa mawe kwa adui ilihali unaishi kwenye nyumba ya vioo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
ila ni sahihi kugawa Pakistan ya waislam toka kwenye nchi ya India?Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina.
Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za kutosha ameumiza ulimwengu.
Akikujibu nitag mkuu. Hawa watu sijui uelewa wao upoje..?ila ni sahihi kugawa Pakistan ya waislam toka kwenye nchi ya India?
Vipi kugawa sudani ya kusini ya wakiristo toka kwenye Nchi ya sudani? Pole sanaila ni sahihi kugawa Pakistan ya waislam toka kwenye nchi ya India?
Vipi kugawa sudani ya kusini ya wakiristo toka kwenye Nchi ya sudani? Pole sanaAkikujibu nitag mkuu. Hawa watu sijui uelewa wao upoje..?
Ngoma draw,ufyate mkia. Full Stop.Vipi kugawa sudani ya kusini ya wakiristo toka kwenye Nchi ya sudani? Pole sana