Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
mtu akikwambia umwage nje ni bora msifanye tu hiyo michezo hata mm siiwezi aisee raha ya mkojo utulie kwenye kopo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukimpa mimba akitoa unaanza kusema wanawake wauwaji.mtu akikwambia umwage nje ni bora msifanye tu hiyo michezo hata mm siiwezi aisee raha ya mkojo utulie kwenye kopo lake
Habari.
Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.
Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi kama alivyoahidi.
Hivi ni vibaya kuvunja mahusiano na mtu wa namna hii? Huyu si mtu mwenye lengo la kukuharibia maisha?
Pili, hivi mkitumia p2 mnapata side effect zipi? Mimi nimetumia mara ya kwanza tu na spot nakaribia kumaliza mwezi sasa haikati. Hospital wanasema ni kawaida na mwili wa kila mtu upo tofauti.
Kwa usalama wangu nimeamua kumawacha huyo mwanaume maana sifikirii kurudia kamwe kumeza p2. Pia sifikirii mambo ya kuanza njia za uzazi wa mpango nyingine kwa sasa.
Mkuu, Una mguuu umenona .Muache mwaya asikupotezee malengo yako bure
Mdogo wangu siku hizi umekuwa mkorofi sanaAcha nae huyo boya njoo kwangu mimi sitatumia kinga ila nita pull out on time usijali.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba raha ya mkojo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu akikwambia umwage nje ni bora msifanye tu hiyo michezo hata mm siiwezi aisee raha ya mkojo utulie kwenye kopo lake
Chakula cha watoto mwagia ndani😂Tupe namba yake tumshauri
Dada kwanini unasoma nyuzi kama hizi asee?
😂😂😂Chakula cha watoto mwagia ndani😂
Najikuta tu nimechungulia[emoji1787][emoji1787]Dada kwanini unasoma nyuzi kama hizi asee?
Mkuu, Una mguuu umenona .
Mkuuu usinifanyie roho mbaya ivo, mie pia napenda vitamuu[emoji28][emoji28]achana nao mkuu
Wewe unamwagiwa tuUnaishi na huyo mwanaume?kama hapana basi huna haja ya kuvunja mahusiano nae...kutana nae siku ambazo sio za hatari
Kuhusu P2 mimi sijawahi kutumia