Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Pole sana...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi...
Weka picha tuone...
 
Mpe mwenzako mzigo huoo...

PUNGUZA KUBANA.

#YNWA
 
Kuna shida mbili
1.ni hiyo uliyoitaja.
2.Humpendi huyo jamaa


Nashauri umuache na usirudi nyuma sababu humpendi
I thnk hampendi tu jamaa
Ama hajaridhika nae

Mtu km umeridhika nae kwa lolote na unampenda anytime imoo..
 
Haya unaachana nae
Unaelekea wapi?

kujichanua upya to another man?

Kuna magonjwa kuwa makini
 
Jambo la kuelezana na kuelewana hilo, kaeni mzungumze! Yani umuache mpenzi wako kisa kidogo hivyo halafu uende ukaanze upya..Sema nae mjipange au acha kukipeleka wakati unajua upo siku za hatari..!
 

Kwamba wamroge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mnafikiria kumwaga nje ni kazi rahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
NANI KAKUDANGANYA...!!!😬

Nisawa useme mwanamke ambae hawezi tumia uzazi wa mpango, nguvu/uzazi wake wa kike ni wakusuasua..!!

Kwaufupi hakuna mwanaume anaependa kutumia hyo mipira....basi tu kuna wengne tukitumia tutasugua adi itapasuka but hakuna kufika popote..
 
We nae wa hovyo sana...

Hilo nalo ni jambo la kusitisha mahusiano,,, kwani anakulazimisha kukugegeda ukiwa hizo siku za hatari...!???

Kaa na mwenzako myamalize,,, yanazungumzika hayo mbona.. Acha kukuza vitu...

Uvumilivu huna,,, nakushauri usiolewe kabisa... Ndoa hutaiweza... Thank me later
 
P2 sio nzuri as zinasababisha hormonal imbalance ukizitumia sana,kama hauishi nae usiende siku ambazo ni high chance of getting pregnant!
Kwa msaada zaidi download my calendar app itakupa safe and unsafe days iko very accurate!
Kumwacha si suluhisho mana hayo mambo utayakuta hata ukishaolewa unajikuta umebeba voda fasta haraka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…