Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Yeye asepe... Uhusiano hautakiwi kua wa upande mmoja.

MTU anayekupenda lazima akujali., akusikilize .

Anachokifanya Muhuni. Ni kutafuta Mimba tu kisha aikimbie !!!.

Mtu anayekupenda, Atakulinda .

Ukimwendekeza Mwanaume....Utakua Singo maza wa kujitakia.

Uzoefu wa maisha, kwa Yale mnayoyaona au kuyasikia kwa wanawake wengine, yatoshe kuwafunza, sio mpaka upigwe na kitu kizito kichwan.
Ukimuendekeza mwanaume utakuwa singo mother wa kujitakia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yaani toka nikujue leo ndio umeongea pointi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Zinaaaa tu.
Hujaolewa unavua chupi kwa lipi?
HATUKUPI USHAURI
 
Ukimuendekeza mwanaume utakuwa singo mother wa kujitakia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Yaani toka nikujue leo ndio umeongea pointi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
My Love yaan toka unijue nilikua naongea ujinga tupu

Mama umejua kunichamba ,mbele za watu??

Siungesubiri tukiwa ndani, yaan mbele za watu ivi unaninanga .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeye asepe... Uhusiano hautakiwi kua wa upande mmoja.

MTU anayekupenda lazima akujali., akusikilize .

Anachokifanya Muhuni. Ni kutafuta Mimba tu kisha aikimbie !!!.

Mtu anayekupenda, Atakulinda .

Ukimwendekeza Mwanaume....Utakua Singo maza wa kujitakia.

Uzoefu wa maisha, kwa Yale mnayoyaona au kuyasikia kwa wanawake wengine, yatoshe kuwafunza, sio mpaka upigwe na kitu kizito kichwan.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hizo pumba si huwa unaongea mbele ya watu pia[emoji28][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kuniambia, jamaan lkn mume/mke ,akiharibu mbele za watu, wewe msimamie , Mkirudi ndani ndo umwambie... Oyaaaaa pale ulizengua

Sasa wewe unamwaga na mboga kabisa !!!
 
Sina Moyo mbaya kiasi hiko .. Wema wako tu ,unatosha .

Infact wewe una guarantee ya msamaha kwa miaka 70 ijayo.

Ni wewe tu kunikosea . Ila vyovyote iwavyo, nilishakusamehe .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh ngoja basi nikazane kukukosea la sivyo yatakuwa matumizi mabaya ya msamaha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom