Mwanaume ambae hawezi tumia kinga, nguvu zake za kiume ni za kusuasua. Achana nae asikuharibie maisha.mimi dada yako na umri huu sijawahi tumia mpango wowote wa uzazi najiamini, mwanaume ambae hawezi tumia kinga huyo aondoke tu.
Huyo mwanaume atakufanya single mother muda sio mrefu. Stuka tofauti na hapo akuoe uwe huru.