Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

Duh!nimechelewa kuingia kwa hii thread ila imetulia sanasana, kwa wadada walio single wakiijumlisha kwenye vigezo vyao watafikia pazuri,Yaani siku hizi hali imekuwa mbaya sana mtaani kiasi kwamba hata kama mkaka anamwambia ukweli mpenzi wake bado atakuwa na wasiwasi kwa ajili ya machafuko ya hali ya hewa anga la mapenzi,
Mimi nafikiri sana sababu the more tunasoma articles nzzurinzuri za kutufanya tutambue baya linaloweza kutokea mbele ze more tunafall kwa bad boys mapenzi bwana hayana fomula kabisa hatari hii sijui kama itaisha any time soon.Thanx michelle,good job
 
This is not a one sided treat,lots of men around have been suffering,manipulated,duped and tortured by lots of women and girls around
 

Michelle unachosema kina ukweli kwa asilimia kubwa lakini usisahau vilevile kwamba wapo wanaokuja kwa gia hizo hizo (papara nyingi, ahadi nyingi, maneno mengi) na kweli wanatimiza. Wasiwasi wangu ni kuwa wasichana wasije wakawa too sensitive au suspicious kiasi cha kuondokewa na radha ya mapenzi. Unajua 'uongo' nao kwa mwanamke unaongeza 'munyu' kwenye penzi. Si unajua immediately baada ya 'kupanda mlima' mnahitaji kutulia na kuanza kudanganyana hapa na pale! Just a joke. But I totally agree with your ideas.
 
Ujumbe wako umejaa busara nyingi,ila umesahau kitu kimoja,hao wa kina dada wanaojikuta wameingia kwenye mahusiano na wanaume wa aina ulizo zielezea hapo juu,na wao ni walaghai kwa namna moja au nyingine.
Mnafahamiana leo,kesho unaanza kupigwa mizinga ya vocha, baada ya mwezi unaombwa umnunulie simu mpya,mara nguo,kama yupo anasoma ndio basi kabisa,mahitaji yote inabidi utoe.
ukishindwa, basi ujue mtoto wa kike atawapanga hata watatu,na kila mtu atapewa huduma.
Kwaiyo kwa hali kama hii,kila kijana awe wa kiume au wa kike,anaamini mwenzake si muaminifu,watu wamekaa kibiashara zaidi.
Kwa ujumla vijana wengi siku hizi,hawajatulia ni ufisadi kwenda mbele kila nyanja na katika mahusiano ndio kabisa.
Kwaiyo dadaa usiwalaumu sana wanaume,kama kinadada wakijiweka kinidhamu zaidi,huo utapeli wanaume watauanzia wapi?
 
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!
 
aah sannaaaa.

Ukiona zinduna..... Ushikwapo shikamana, unapotendwa nawe tenda, lol.

aiseee...sasa mwanaume akikuacha we uatamfanya nini?tukifuata hiyo ya unapotendwa na we tenda....!!! ukomoe wengine au?
 
This is not a one sided treat,lots of men around have been suffering,manipulated,duped and tortured by lots of women and girls around

I agree,what do you think men should do? you can as well advise or suggest something....am a girl....its easier to see my side than the men side.....
 


kweli wapo...ni suala la kuwa makini tu kidogo na kuchukua muda coz wapo wanaotimiza ahadi wakishapata tunda ndo safari.....
 
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!

Husninyo wewe ni he or she? wakati mwingine nikisoma comment zako naona unajibu kama mwanaume wakati mwingine kama mwanamke. samahani nauliza tu
 

nakubaliana na wewe kuwa kuna wanawake walaghai....ila kama ilivyo kwa wanawake....ukishashtuka ni laghai na hakufai...muache,haina haja ya kujishikiza mahali kwa kuwa unampenda sana mtu while amekupanga kwenye list....kama huwezi mtimizia mahitaji yake muache,wapo watakaoridhika na ulivyo na kukupenda hata kama huna uwezo wa ku-provide....shukrani sana!!
 
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!

hawa my dear hauko mwenyewe.....nina kimeo kimoja....tangu niko form 3,kaoa na ana watoto lakini bado tu anataka kuonja....kila mara ananiapia...hata kama tukiwa wazee ipo siku tu tutajuwa pamoja......its insane.....siwapendi mimi ving'ang'anizi......
 
Husninyo wewe ni he or she? wakati mwingine nikisoma comment zako naona unajibu kama mwanaume wakati mwingine kama mwanamke. samahani nauliza tu

nahisi hili swali linamkera sana....ameulizwa mara nyingi sana....sijui kwanini kuna contradiction ya jinsia yake...ila kama sikosei alishasema yeye ni HE
 

We umewai kudanganywa? sijui kama wapo wanaume wanaodhamiria kutoka moyoni kuwa ngoja nikamdanganye Ms. Fulani!! Ahaa samani sana Michelle kumbe ni kwa wadada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…