Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Kuna Wakati last year vijana hawa waliingiliwa na style ya mashati makubwa hata ndani hujui kama kuna nguo au haipo.Mkuu tamaduni zetu na zao ni tofauti kabisa ndio maana wewe huwezi kaa hivyo na na niece wako hata kama mtakua vacation hayo mambo yenu ya kuiga tamaduni za watu ndio zinaleta ndugu kulana
Kutojua kwako kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili kunaashiria jinsi mental capacity yako ilivyo!Sio kila kilichokua kinafanyika zamani basi ni sawa uko zamani walikua wanatoa kafara za binadamu na ni kitendo ambacho kilikua kinakubalika kabisa kwenye jamii je na sasa hivi tufanye ivyo. Kwa sababu za kimaumbele mwanamke anapaswa kujistili, kuona sehemu nyeti za mwanamke alafu isipeleke ujumbe wowote kwenye ubongo bila shaka wewe utakua shoga
Ok,tuhamasishane tutembee Tako wazi kudumisha Mila zetuKwani kuvaa nusu uchi ni jadi ya wazungu au waafrika? Jaribu kusoma na kuulizia vizuri. Mababu waliozaa baba zako walikuwa wanaishi na wanawake walikuwa wanakaa nusu uchi. Kukaa nusu uchi ni jadi yetu. Nguo tumeanza kuvaa juzi juzi tu.
Ni kweli mkuu lakini hata wazazi pia wanawajibika kuwafundisha watoto wao maadili pamoja na wanawake kwa ujumla wanawajibika kujichunga maana katika kudindisha kuna wengine wanashindwa kuvumilia wanafanya vitendo vya ubakaji kwaiyo mwanamke kama victim anatakiwa kujiweka katika mazingora salama ikiwa ni pamoja na kukaa au kuvaa mavazi yenye staha anapokwepo mbele ya mwanaumeIshu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it
[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]
View attachment 2469863
Nimemuekewa sana nimejibu kulingana na comment yake na sio topic yakeSoma alichoandika mtoa mada ndio utanielewa mwisho wa mwaka tunajumuika pamoja kiukoo na kifamilia labda nyinyi hamna utaratibu huo, chukua lecture kiazi
Kubaka mtoto wa miaka miwili sio hoja inawezekana mhusika alikua na matatizo ya akili, masharti mganga n.k ishu ni kwamba mavazi yasiokua na staha ni moja ya sababu inayohamasisha ngono na hapo ukikutana na mwanaume asieweza kucontrol hisia zake kuna uwezekano akajaribu kukufanyia jaribio la ubakaji labda dada angu umeamua kubisha tu ilmradi unabisha ila nina uhakika ungekua mwanaume ungeelewaNdiyo akili yako ilipoishia mbakaji wewe? I thought naongea na mtu anayejielewa. Wewe umeambiwa mnabaka hadi watoto wa miaka 2.
Je anakuvutia nini? Mwanaume aliyekamilika hata mwanamke awe mzuri vipi kama hajavutiwa naye hata hamtongozi, so huyu hawezi kubaka kakamilika.
Wewe ni mbakaji ambaye mwanamke si wako, kavaa zake huko unambaka ili? Sitokujibu zaidi ya hii kama hujaelewa endelea kuna miaka 30 jela.
Ni muvi gani hii jamaaKILICHOMPATA MTOA MADA NA ANKO WAKE akijisomea gazeti SEBLENI USIKU WA JANA[emoji4][emoji116]
View attachment 2469796View attachment 2469798View attachment 2469799View attachment 2469800
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu mkuu.Mwanaume Umeumbiwa Mateso 🤣🤣🤣
Hatupo kwenye darasa la lugha hapa as long as umeelewa ujumbe inatoshaKutojua kwako kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili kunaashiria jinsi mental capacity yako ilivyo!
Unahangaika kujibu jitu lililopitia malezi ya hovyo na kuona upumbavu kama ndo maisha ya kuishiUsipotoshe wenzako wakaishia kubakwa na kuishi na maumivu ya kisaikolojia maisha yao yote. Zingatia sentensi ya mwisho katika andiko langu, "Ni kitu kibaya kwa mwanamke kufanyiwa kitendo cha unyanyasaji wa kingono ila jichunge wewe mwanamke mwenyewe usiwe chanzo cha kufanyiwa hicho kitendo"
Na kupolomoka kwa maadili ndio imekuwa sifa kuu ya kuitwa mjanja na kuenda na wakatiYote hii ni kuporomoka kwa maadili kwa baadhi ya watu.
Tamthilia za kizungu na kifilipino zimewaalibu akili wanachokiona kwenye tv wanataka kuleta kwenye maisha halisi bila kufikiria yale ni maigizo na pia kinachoigizwa sio maadili yetu. Unajua kipindi nipo mdogo nasoma historia mambo ya mkutano wa beijing nilikua naona wanawake wana hoja kupigania usawa lakini ninavyokua na kuzidi kuwaelewa vzr wanawake nazidi kuelewa zaidi ya kwamba mababu zetu walikua sawa kumnyima mwanamke usawa. Kwa asili ya mwanamke anatakiwa kuwa na mamlaka ya juu yake kumcontrol chunga mienendo ya wanawake walioondoka nyumbani kwenda kuishi wenyewe bila kuolewa na wanawake wanaoishi chini ya himaya ya wazazi wao bila kujali umri utaona kuna tofauti kubwa ya mienendo kati ya haya makundi mawili.. kumwachia mwanamke uhuru ni risk kwa heshima ya familia mtaani na kwenye jamii kwa ujumlaUnaha
Unahangaika kujibu jitu lililopitia malezi ya hovyo na kuona upumbavu kama ndo maisha ya kuishi
Na nyongeza ya hapo tamthilia nyingi kama si zote zina ajenda ya za siri ambazo mazuzu hawawezi kuzighamua. Wao wanaona hayo ndio maisha ya kawaida sasaTamthilia za kizungu na kifilipino zimewaalibu akili wanachokiona kwenye tv wanataka kuleta kwenye maisha halisi bila kufikiria yale ni maigizo na pia kinachoigizwa sio maadili yetu. Unajua kipindi nipo mdogo nasoma historia mambo ya mkutano wa beijing nilikua naona wanawake wana hoja kupigania usawa lakini ninavyokua na kuzidi kuwaelewa vzr wanawake nazidi kuelewa zaidi ya kwamba mababu zetu walikua sawa kumnyima mwanamke usawa. Kwa asili ya mwanamke anatakiwa kuwa na mamlaka ya juu yake kumcontrol chunga mienendo ya wanawake walioondoka nyumbani kwenda kuishi wenyewe bila kuolewa na wanawake wanaoishi chini ya himaya ya wazazi wao bila kujali umri utaona kuna tofauti kubwa ya mienendo kati ya haya makundi mawili.. kumwachia mwanamke uhuru ni risk kwa heshima ya familia mtaani na kwenye jamii kwa ujumla
Mkuu sasa kama ni hivyo makahaba si wangekuwa wanavaa nguo ndefu tu za kujisitiri maungo yao.Km una Tamaa ndani yako hata wakivaa magunia utashawishika tyuuh. Msisingizie mavazi lol.
Yes Kama Irene uwoya vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Wakati last year vijana hawa waliingiliwa na style ya mashati makubwa hata ndani hujui kama kuna nguo au haipo.
Ni kweli mkuu hata za hapa hapa afrika pia madirector wanatumika kusambaza ajenda za watu kwa kujua au kwa kutokujua mfano movie za nollywood mara zote imani za kiafrika zinatumika pale mhusika amedhamiria kufanya jambo baya na mara zote mwisho wake lazima uwe mbaya hii inapeleka picha kwenye akili za watazamaji kwamba imani za kiafrika ni mbaya kumbe sio kweli imani zetu zina mazuri mengi tuNa nyongeza ya hapo tamthilia nyingi kama si zote zina ajenda ya za siri ambazo mazuzu hawawezi kuzighamua. Wao wanaona hayo ndio maisha ya kawaida sasa
Hapana mkuu ndio maana watu wanavutiwa na wale wa insta wakaa nusu uchi na sio wavaa baibui.Km una Tamaa ndani yako hata wakivaa magunia utashawishika tyuuh. Msisingizie mavazi lol.