Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

wewe shinda naotuuu nikija kuwa posa naanza kukushuka upaja wewe hapo ndio namfata dadako.
Dada zangu hawaposwi na machoko sasa unataka kushika msuli wa paja la mwanaume ili kuniamasisha nikufanye nini? Wafuasi wa upinde wa mvua mna shida sana
 
Dada zangu hawaposwi na machoko sasa unataka kushika msuli wa paja la mwanaume ili kuniamasisha nikufanye nini? Wafuasi wa upinde wa mvua mna shida sana
weeshinda naotu nikija kuwaposa naanza kuku shika matako wewe.
 
Wale wanaofanyiwa mbaya na hata hawavai nusu utupu unawazungumziaje? Utaskia ugonjwa wa akili. Punguzeni tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada angu kuwa muelewa. Hatujasema kwamba kukaa uchi ndio sababu pekee ya mtu kufanyiwa kitu mbaya sababu zipo nyingi sana ikiwemo matatizo ya akili, masharti ya mganga, tamaa ya anaefanya hicho kitendo n.k. sababu zipo nyingi na katika izo sababu nyingi iyo ya wanawake kuvaa nusu uchi au nguo zisikokuwa za staha ni moja wapo maana mwanamke kuonesha sehemu zake nyeti inaamsha hisia za mwanaume kwaiyo kwa ambae awezi kucontrol hisia zake kama mazingira yanaruhusu anaweza kujaribu kufanya tukio la ubakaji. Sijui dada zangu hamuelewi au ndo akili za kifermist mlizokalilishwa kwamba mnatakiwa kupingana na mwanaume katika kila nyanja as long as kitu kimefanywa au kimesemwa na mwanaume basi mwanamke unapaswa kupinga tu, embu wekeni pembeni ufermist na ulimbukeni wa kugeza life style za wazungu, mambo mengine yapo kiasili kwaiyo tuishi kwa kufata asili inataka nini maana uwezi kushindana na nature. Kiasili maeneo nyeti ya mwanamke yanaamsha hisia za matamanio ya mwanaume na kwa sababu mwanaume kiasili mwanaume ana nguvu za mwili kumshinda mwanamke ivyo kama hawezi kuzuia hisia zake anaweza akafanya kitendo cha ubakaji. Hatukubaliani na kitendo cha ubakaji sio kizuri lakini pamoja na ubaya wa hicho kitendo vile vile mwanamke kama victim unawajibika kujichunga wewe mwenyewe usiwe chanzo cha kufanyiwa hicho kitendo.
 
Huo ni uongoo tyuuh, tamaa zinawatuma, na sio mavazi.
Hayo maziwa Yako ukivaa nguo inayoacha yaonekane ntakutamani Sana na nikishindwa kukuapproach nitaenda kupiga puchu lakini ukivaa nguo ya kujistiri mawazo yangu hayatawaza mapenzi na sitakuwa na tamaa.Ila pia Unakuwa unapata dhambi ya kuwazinisha watu Kwa macho Kwa nguo za mitego unazovaa .
 
Km una Tamaa ndani yako hata wakivaa magunia utashawishika tyuuh. Msisingizie mavazi lol.
Hata kama huwatamani ila inakufanya ushindwe kujiamini maana kuona chupi au tako la ndugu yako linatetema sio picha nzuri
 
Unalojaribu kulielekeza ni shoga maarufu tu hapa jf achana nalo
 
Hoja zangu zinabaki pale pale, ahsante kushiriki.

Umeandika mambo mengi hadi unatoka nje ya mada, ufeminist umefikaje hapa? Kwa hiyo kwa sababu wewe ni mwanaume basi chochote utakachosema hata kama si sahihi tukubali tu? Nimetoa maoni yangu kama huyakubali ni wewe usianze kuingiza habari zingine hapa.
 
Hoja zangu zinabaki pale pale, ahsante kushiriki.
Nashukuru pia kwa mchango wako kwenye andiko langu. lengo ni kuelimishana sio kuoneshana nani zaidi. No hard feelings ndo maana nikakubaliana na wewe kwamba kama uko zamani walikua wanavaa uchi na hapakua na matukio ya ubakaji basi na wewe tembea barabarani matako na matiti yakiwa nje ili kudumisha utamaduni. But make sure you will handle the rest without kusumbua watu
 
Siku zote Adam hakosi Eva wa kumshawishi.....

Wakat mwingine sio Tamaa hao mabinti wanajitakia.....Sasa unavaa kakichupi kanaonyesha Hadi mbususu na matako....unategemea nini...
Msituletee uzungu uzungu mwingi wakati sisi ni wa africa.....

Wajifunze kuvaa vizuri kujistil...Mm sipendi izo tabia...BADALA YA MWANAMKE KUONA AIBU UNAJIKUTA MWANAUME NDIO UNAONA AIBU...

Shem on them
 
Ila huo ndyo ukweli
 
Wanawake hamuwez kuelewa hili swala kwakuwa hamjawah kuwa wanaume ndomana weng mnabisha na kuona ni tamaa zetu tu wanaume

I wish mngepata nafasi ya kuwa wanaume hata kwa masaa mawili tu ndo mngetuelewa vzur nn tunamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…